Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Baraza la Mashekh wa Mkoa wa Dar es Salaam Chini ya Mwenyekiti wake Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam limevunja rasmi ndoa ya Bi. Queen Masanja ambaye alikuwa Mke wa Dk. Mwaka leo hii Tarehe 25/1/2023.
“Ndoa hii imepoteza malengo na makusudio hakuna upendo wala maelewano baina yao hadi sasa zaidi ya mwaka mmoja sasa” amesema Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na Wanahabari.
“Ndoa hii imepoteza malengo na makusudio hakuna upendo wala maelewano baina yao hadi sasa zaidi ya mwaka mmoja sasa” amesema Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na Wanahabari.