Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

Hawa wanawake wenye majina yanayoishia Masanja ni shida.

Mwaka huu tabu tupu, huku Manara, huku mwaka, kule Lissu naye kapigwa chini na mkewe
Kwa hiyo WANAWAKE ndio wanashida au siyo....kama huyo manara ndoa tano (shida WANAWAKE)
Huyo mwaka pia mkewe aliyeanza naye maisha Hadi katoboa akamuacha na huyu Sasa kimeumana tatizo lipo kwa wanawake?
 
(ATT'ALAAQ 65: 1)
Ewe Nabii! Mtakapo wapa talaka wanawake, basi wapeni talaka katika wakati wa eda zao. Na fanyeni hisabu ya eda. Na mcheni Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Msiwatoe katika nyumba zao, wala wasitoke wenyewe, ila wakifanya jambo la uchafu ulio wazi. Hiyo ndiyo mipaka ya Mwenyezi Mungu, msiikiuke. Na mwenye kuikiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu, basi amejidhulumu nafsi yake. Hujui; labda Mwenyezi Mungu ataleta jambo jengine baada ya haya.

(ATT'ALAAQ 65: 2)
Basi wanapo fikia muda wao, ima warejeeni muwaweke kwa wema, au farikianeni nao kwa wema. Na mshuhudishe mashahidi wawili waadilifu miongoni mwenu. Na simamisheni ushahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Hivyo ndivyo anavyo agizwa anaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na anaye mcha Mwenyezi Mungu humtengezea njia ya kutokea.




AJABU WANAOTESEKA NI WALE AMBAO HAWARUHUSIWI KUOA NA KUACHA.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom