Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

Dah alizingua pakubwa
... alizingua kinoma; hakuna mafundisho ya dini yoyote yanaruhusu hiyo kitu (threesome). Ni kharamu kabisa mmoja kujua sio tu unavyomfanya mwingine bali at any particular moment mmoja hapaswi kujua mwenzangu anaingiliwa muda huu!

Sasa huyu kaamua kulala nao kitanda kimoja kabisa; fahamu zikiwarudia lazima wahoji na ndicho kinachotokea. Mshana Jr
 
Wenye wake zaidi ya mmoja huu ni mwaka wenu mkitoboa mpaka June 2023 basi nyie mtadumu. Trailer imeanza January kwa motivesheni supika wenu Dr mwaka na Manara
Kwa kweli hali imekuwa tete! Hata michepuko nayo kwa sasa haikamatiki!! Yaani hali ni mbaya mpaka basi.
 
Baraza la Mashekh wa Mkoa wa Dar es Salaam Chini ya Mwenyekiti wake Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam limevunja rasmi ndoa ya Bi. Queen Masanja ambaye alikuwa Mke wa Dk. Mwaka leo hii Tarehe 25/1/2023.

“Ndoa hii imepoteza malengo na makusudio hakuna upendo wala maelewano baina yao hadi sasa zaidi ya mwaka mmoja sasa” amesema Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na Wanahabari.
View attachment 2495938
Safi tu..
 
Natoa angalizo kuwa turudie Ile elimu aliyotupa Mshana kuhusu Mdomo wa mwanamke na maumbile yake.Naona darasa alikukuelewa Mwalimu Mshana vizuri.😄😄
🤣 Hio tayari inaeleweka hapo lazima angetoswa tu. Shimo kubwa
 
Hao Bakwata wamepata wapi mamlaka ya kuvunja ndoa? Nachojua nchi hii Mahakama ndio inaweza kuvunja ndoa.
Sijui kama kuna chombo au taasisi nyingine inaweza kuvunja ndoa..
Najiuliza hao bakwata wametumia sheria au mamlaka gani kuvunja hiyo ndoa?
 
Hao Bakwata wamepata wapi mamlaka ya kuvunja ndoa? Nachojua nchi hii Mahakama ndio inaweza kuvunja ndoa.
Sijui kama kuna chombo au taasisi nyingine inaweza kuvunja ndoa..
Najiuliza hao bakwata wametumia sheria au mamlaka gani kuvunja hiyo ndoa?
Mamlaka Ile Ile inayoifanya Bakwata kufungisha ndoa, ndio hiyo hiyo inayowapa nguvu ya kuvunja.
 
Wasukuma wanamatukio ya hatari. Kama unataka kuoa msukuma jiulize mara mbili mbili.

1. Harmo Kalizwa na msukuma
2. Haki Kalizwa na msukuma
3. Mwaka kalizwa na msukuma
4. Mkandamizaji msukuma wake kafanya matukio
5. Msukuma wa bagamoyo hajamzika mumewe kisa hataki maiti kwenye kiwanja chake

Wake wa kisukuma wamekuwa shida.
Acheni kuoa wasukuma
 
Hizi ndoa za kuachana mpka kuita na waandishi wa habari ndo ndoa gani hizi..
 
Back
Top Bottom