Road Traffic Signal
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 621
- 1,958
Kwani huko dar huyo mwaka ni nani? Mtuelezee tumjue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi uishie hapa.Ndoa za kiislamu ni ufuska
Kwa mavyakula yao ya kisukuma lazima ujue kukanyagia haswa kitu ambacho mla biriani hakiwezi.Wasukuma wanamatukio ya hatari. Kama unataka kuoa msukuma jiulize mara mbili mbili.
1. Harmo Kalizwa na msukuma
2. Haki Kalizwa na msukuma
3. Mwaka kalizwa na msukuma
4. Mkandamizaji msukuma wake kafanya matukio
5. Msukuma wa bagamoyo hajamzika mumewe kisa hataki maiti kwenye kiwanja chake
Wake wa kisukuma wamekuwa shida.
Tuseme Konde genge yeye ulikuwa uchumba!Wenye wake zaidi ya mmoja huu ni mwaka wenu mkitoboa mpaka June 2023 basi nyie mtadumu. Trailer imeanza January kwa motivesheni supika wenu Dr mwaka na Manara
Maswali magumu hayaOk ndoa imevunjika ila nini tatizo ni pesa au nguvu zetu, kama pesa Mwaka ni mpambanaji na kama ni nguvu zetu Mwaka ndio mtengenezaji na muuzaji wa dawa za nguvu zetu.
Alipowatawanyisha kuacha kulala nao kitanda kimoja ndipo tatizo lilipoanzia.Kuoa wanawake watatu Ina maana kila siku wewe lazima uninihii, Sasa hizi tambi wanazokula watu wa Dar changanya na uzee kwa mshika tatu mbili lazima zichomoke.
One down, two to go.
...kwenye shajara....Aione Manara
Wanaume wapo wengi waliachika pia,so tunafidiana na kukutana na kuoanaHawa wanawake wakishaachika wanaenda wapi nani atawaoa
Yes, wenye "soko" zaidi ni wanawake, hasa hawa maarufu wanaotoka kwa watu wenye majina ama wanaojulikana sana kwenye media.Wanaume wapo wengi waliachika pia,so tunafidiana na kukutana na kuoana
Kabisa mkuuYes, lakini wenye "soko" ni wanawake, hasa hawa maarufu wanaotoka kwa watu wenye majina ama wanaojulikana sana kwenye media.
Kukaa single mpaka atake mwenyewe, lakini si kwa kukosa wachumba.
Anahubiri asichofanya na anafanya asichohubiriMotivational speaker wa upendo wa ukweli ndani ya ndoa yamemkuta huku.
Sasa sijui ule uhamasishaji wake tuuchukuliaje[emoji1787][emoji119]
Nilipokua kijana wa fomfoo nilikua nadhani nikioa kila siku itakua Mara tatu. Baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 35, hicho kitu Ni Mara nne tu kwa mwezi japo tunapendana sana Tena Sana. Sasa na imagine ningekua na wake wawili?Alipowatawanyisha kuacha kulala nao kitanda kimoja ndipo tatizo lilipoanzia.
Alivyokuwa akilala nao wote ni rahisi kumpumzisha, maana jitihada zake za kila siku kitandani kila mmoja anakuwa anazielewa kwa kushuhudia, hakuna lawama.
Kila mmoja akiwa kwake, mwanaume hawezi kupumzishwa, hata kama amechoka ataonekana anafanya makusudi na anaegemea upande mmoja kule alikolala jana!
Nguvu za kufanya hayo maujinga ya kitandani kila siku haziwezi kuja kwa wanawake uliowazoea hata kama unakula chakula gani ama dawa gani.
Mkijenga mazoea ile muhu ya kufanyana kila siku inashuka na miaka ikizidi mwishowe mwanamke unamuona kama dada.
Labda kama ingelikuwa anabadilisha na kuleta "wapya" kila siku hapo angeweza kujikweza kitandani!
Yas, akikuchanganyia magome ya mwembe, amdalasini na iliki, tasa anaenda kupata ujauzito, na mirija ya uzazi inafunguka, alikulaga fedha za mke wa jamaa fulani mpaka mumewe na binti akajenga chuki!Hivi Mwaka ni Doctor?
Yes. Daktari wa wanyama wa baharini Kama pweza, ngisi kaa na megegereka.Hivi Mwaka ni Doctor?
... wanaitaga threesome. Wasema ni mojawapo ya style za kikubwa kwenye hayo mandoa mnaitaga. Pengine waliona inawafaa zaidi wewe ni nani uhoji mambo ya vyumbani mwa watu wazima wenye akili zao timamu?Muwe mna share mume halafu eti mnapendana Hadi kulala kitanda kimoja mume katikati... 😂😂😂😂
Mi nikajiuliza hii ni ndoa au big brother Africa.
Threesome!Halafu alikuwa analala nao wote kitanda kimoja