Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

Ndoa ya Dkt. Mwaka yavunjika. Imemaliza upendo kabisa

0bd521e5-b0d8-4153-bc7a-996aef067405.jpg
 
Hao Bakwata wamepata wapi mamlaka ya kuvunja ndoa? Nachojua nchi hii Mahakama ndio inaweza kuvunja ndoa.
Sijui kama kuna chombo au taasisi nyingine inaweza kuvunja ndoa..
Najiuliza hao bakwata wametumia sheria au mamlaka gani kuvunja hiyo ndoa?
.
Screenshot_20230127-202135_Chrome.jpg
 
Usipende kulaumu wanawake kwa kila kitu, haya yeye Mwaka huwaoa na kuwajaza hapo kwa maslahi yake binafsi.

Hakuna kitu queen alifuata kwa Mwaka zaidi ya ndoa, Do your research.
Nadhani ni mtazamo na hulka ya mtu, mjomba angu ana wake 4.

Kaoa akiwa 18, wa pili 21 😂😘
 
Back
Top Bottom