Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Huyu Sheikh wa Mkoa si walishaparuana before na Mwaka anayejiita doctor wakati ni mtaalamu miti shamba in kigwangala's voice?
Sio kwa hii!Ndoa ivunjikapo hata mbingu upasuka.
Usipende kulaumu wanawake kwa kila kitu, haya yeye Mwaka huwaoa na kuwajaza hapo kwa maslahi yake binafsi.Hiyo ilikuwa ndoa au upuuzi fulani hivi? Wale wanawake walijazana pale kwa maslahi yao binafsi, ilitarajiwa muda utafika wataanza kuchomoka moja baada ya mwingine. Haya ndiyo madhara ya ndoa za show off
Queen Masanja.... Jina lina mgogoro..
Weee! Sema kweli?Ndoa ivunjikapo hata mbingu upasuka.
Si unajua kimjini mjini? Hata Bitoz ni Dr..[emoji1544][emoji1550]Hivi Mwaka ni Doctor?
Mbingu ipi hiyo?Ndoa ivunjikapo hata mbingu upasuka.
Halafu alikuwa analala nao wote kitanda kimojaLidada lizuri hiloo hakunaga ukewenza mzurii na ukewenza wanawake hatuupendi tena wa kuongozana hivyo
Jamaa anatangaza dawa za nguvu za kiume kumbe yeye mwenyewe hana nguvu ta kiume.