Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Una maanisha rich ni bisex ?Kama Rich anavyokulana na waume wenzie?
Ngoma draw hapo!
Hawa hawakujua kuwa hakuna kati yao ambaye ni material ya ndoa.
Hakukuwa na ndoa hapo ni vile tu jamii huwa inafikiri kila mtu ni lazima aoe/aolewe. Ndio maana watu wanajichanganya kila siku.
Pombe mbaya 🤣Jambo moja ni dhahiri. Mbowe Must Go kudadek zake
Sijui kuhusu bisexual/bisex or whatever you name it…Una maanisha rich ni bisex ?
Aseeh nimekupata madamSijui kuhusu bisexual/bisex or whatever you name it…
Najua kuhusu binadamu wajinga wasio na mipaka juu ya wanavyotumia miili yao.
Asingekua na mtonyo angeruka ruka na nini hata kumpata yeye ni sehemu ya kuruka ruka alidhani ataweza kumfuga kunguru mweusi kitu ambacho hakiwezekani wapo watu wakipata pesa ndio zinawaendesha waishi vip na wapo wengine pesa ndio wanaziendesha na muda mwingine anasahau kuwa ana mzigo huyu kwenye maisha atakua na furaha ya kweli kwenye familia yake..huyo Wolper muda wote kumtangaza mume wake mtandaoni wakati wapo majambazi zaidi yake unategemea nini..Mtonyo sio sababu ya kuvunjika ndoa yao, Rich bado ana mambo mengi ujana mwingi anaruka sana.
Hata ukimsoma vizuri hapo Wolper, utaona kabisa anaongelea hilo mara nyingi.
Hahahah ma regular ndio wapoje mkuu?Hizi ndoa sisi ma regular tunazan pesa zinawez tulza ndoa kuw na udumu
Mambo n magumu humu ndan hasa mnao oa njia ya kaskazn
Niko hapa pacha wake nibariki utamu antiNa allivo mzur Yule kaka
Watu wamaisha ya kawaida (kipato kdogo)Hahahah ma regular ndio wapoje mkuu?
mkama ndio ivyo basi ndoa za maregular huwa zinadumu ukilingasha na wenye nacho au ma celebritiesWatu wamaisha ya kawaida (kipato kdogo)
Amesema ukweli lakini japo unauma. Wolper file lake linajulikana long time kitambo tangu enzi hizo anajiita ilham DallasNilijua tu utopolo kama wewe msingekosekana kwenye uzi huu.
China Huko ana kitembeza hatariKwa maandishi haya ya Wolper inaonekana jamaa anaruka ruka sana mjini na wahuni wanampa taarifa kwa hiyo kaona bora kila mtu aendelee na maisha yake na pia hapo pia inaonekana huyo Mzazi mwenzie mpunga upo ndio maana mazingira ya kuachana ni yale salama ili waendelee kupeana mpunga kwa ajili ya malezi ya watoto wao...
Hivi wolper ela za kujenga ule mjengo wake ni biashara hii tu ya vipodozi jamani?Hapana, Wolper alimpenda kweli Rich na alishamaliza mambo mengi alidhamiria kutulia na kujenga familia.
Kama ni mtonyo Wolper mwenyewe yuko vizuri sana, sio shida zake.
Niliona, mmenifurahisha sana.Mkuu uliona game yetu na liverpool achana na matokeo,.ulicheki game yenyewe?
Mhhhhh, sijui kwakweli.Hivi wolper ela za kujenga ule mjengo wake ni biashara hii tu ya vipodozi jamani?
Mbona umeniwahi mapema ?Niliona, mmenifurahisha sana.
Haya, niambie unataka kusemaje? Maana nyie watu ndio maana tunapenda muendelee kufungwa ndio kama hivi mkiinuka kidogo tu tayari mnapiga kelele.