Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Mtonyo sio sababu ya kuvunjika ndoa yao, Rich bado ana mambo mengi ujana mwingi anaruka sana.

Hata ukimsoma vizuri hapo Wolper, utaona kabisa anaongelea hilo mara nyingi.
Asingekua na mtonyo angeruka ruka na nini hata kumpata yeye ni sehemu ya kuruka ruka alidhani ataweza kumfuga kunguru mweusi kitu ambacho hakiwezekani wapo watu wakipata pesa ndio zinawaendesha waishi vip na wapo wengine pesa ndio wanaziendesha na muda mwingine anasahau kuwa ana mzigo huyu kwenye maisha atakua na furaha ya kweli kwenye familia yake..huyo Wolper muda wote kumtangaza mume wake mtandaoni wakati wapo majambazi zaidi yake unategemea nini..
 
Duh aiseee ndoa hizi
1736149236718.png

Ulimchamba mtoa mada kwenye uzi huu RichMitindo akumbatia bomu rasmi!
 
Kwa maandishi haya ya Wolper inaonekana jamaa anaruka ruka sana mjini na wahuni wanampa taarifa kwa hiyo kaona bora kila mtu aendelee na maisha yake na pia hapo pia inaonekana huyo Mzazi mwenzie mpunga upo ndio maana mazingira ya kuachana ni yale salama ili waendelee kupeana mpunga kwa ajili ya malezi ya watoto wao...
China Huko ana kitembeza hatari
 
Niliona, mmenifurahisha sana.

Haya, niambie unataka kusemaje? Maana nyie watu ndio maana tunapenda muendelee kufungwa ndio kama hivi mkiinuka kidogo tu tayari mnapiga kelele.
Mbona umeniwahi mapema ?
Umefanya analysisi, hio timu inashida mahali sio?
 
Back
Top Bottom