Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Bado naitafakari, ndio maana nimekupa nafasi wewe ya kusema.Mbona umeniwahi mapema ?
Umefanya analysisi, hio timu inashida mahali sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado naitafakari, ndio maana nimekupa nafasi wewe ya kusema.Mbona umeniwahi mapema ?
Umefanya analysisi, hio timu inashida mahali sio?
Huwa tuna vumilia tuu tukiimin mchawi n pesamkama ndio ivyo basi ndoa za maregular huwa zinadumu ukilingasha na wenye nacho au ma celebrities
Huyu sio wale wanaosubiria mtu aseme suuu mtu anajitwisha roba la lake la shangazi kaja na ndoa ndio kushney 🤣🤣 mapambano yaendeleeKaa tu kimya mdogo wangu. Yaani mtu aamue kukuacha useme huachiki😅😅😅.
Msamiati wa "mind your own business" umempitia kando huyo jirani 🤣Mimi sina la kusema
Rich wanamkula au anakula?Kama Rich anavyokulana na waume wenzie?
Ngoma draw hapo!
Hawa hawakujua kuwa hakuna kati yao ambaye ni material ya ndoa.
Hakukuwa na ndoa hapo ni vile tu jamii huwa inafikiri kila mtu ni lazima aoe/aolewe. Ndio maana watu wanajichanganya kila siku.
Ndio nimefika hapaMwachiluwi sijakuona huku ndg yangu
Ok let allow you to enjoyNdio nimefika hapa
Nimeona mtu kasema eti kajengewa na mchungaji🤣🤣🤣Mhhhhh, sijui kwakweli.
Thanks for sharingOk let allow you to enjoy
welcome bro 👊Thanks for sharing
Mbona bibie Msagaji kitamboSijui kuhusu bisexual/bisex or whatever you name it…
Najua kuhusu binadamu wajinga wasio na mipaka juu ya wanavyotumia miili yao.
Na kweli ndama wangu nimenunua mwaka juzi nkampatia mtu afuge saa hii mjamzito karibia kujifunguaIle mipesa waliyoitumia kwa ajili ya harusi si bora wangeinunulia ndama wakafuga. By now wangekuwa na ng'ombe kadhaa wa maziwa.
Nje ya mada, ule mjengo itakuwaje?? Au jamaa alikuwa anakaa kwa nguvu ya kiuno cha mkewe?
Kwa hiyo alishafanya yake wee akaamua kutulia aolewe, sio?Hapana, Wolper alimpenda kweli Rich na alishamaliza mambo mengi alidhamiria kutulia na kujenga familia.
Kama ni mtonyo Wolper mwenyewe yuko vizuri sana, sio shida zake.
Hatarii sana kuna shule hizi za English medium za boarding ila ni primary nilishuhudia baba na mama wanagombana yule baba hakutaka yule mama awaone, kuongea au kula na hao watoto. Inaonekana walishatengana na hiyo ilikuwa visiting day. Waligombana pale bila aibu baba akawasunda watoto kwenye prado mama alikuja na kama vitz sikumbuki. Katoto ka kike nadhani kama 7yrs aisee kaliangua kilio hadi huruma ajabu walimu walikuja ila wakawa wamesimama tuu kama mishumaa. Hawa kufika kwa pamoja baba alfika mwanzo hapo shule.Wazungu huwa wanajitahidi ku-co parent
Hapa bongo asilimia kubwa ndoa ikiwa na migogoro ama wazazi wakiachana kuna namna ugomvi unawafikia watoto
Nasikia bwana Rich ni chicha umwiba etiNilishawaambia lakini, ndoa ilikuwa sio ndoa ni ndoano na imepumulia mashine kwa muda mrefu.
Kiukweli Wolper alikurupuka kuolewa na Rich.
Ilikua suala la muda. Wolper kajiweka kama MUME wa watu, hafai kuwa mkeNgumu sana mume akiwa nchi ngeni eti yupo kazini na anaweka mwanamke ndani anaishi nae kama mke pia.
Bora amevumilia amepata kwake pa kuishi.
Aende tu ila ukigeugeu wenu wasanii wa bongo.. Kila la kheri kwake
Kama mimi nina wivu, najijua