Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

Na ukiiba inabidi ukomae kweli...wanasema kavumilia kumbe alikuwa anaona aibu wakiachana watu watamcheka... 'karma'

Jide aliiba mume wa mtu sasa aone madhara yake,nae apate maumivu kama yule mke wa awali wa gardner
 
Teh teh teh...watu wepesi kusahau...nakumbuka those days magazeti ya udaku ndio yanaanza kazi...mpaka picha ya mkewe ndani ya shela walirusha na katoto juu...

Na ukiiba inabidi ukomae kweli...wanasema kavumilia kumbe alikuwa anaona aibu wakiachana watu watamcheka... 'karma'

Yule mama kama alikua anaomba sasa atakua anamshukuru Mungu amejibu maombi. Cha kuazima hakistili makalio.

Waswahili husema malipo ni hapa hapa,inaweza kua kweli.
 
Dah!!! Bibie Jide kwa sasa kama hii habari ni ya ukweli ndiyo muda wa kuanza kuwa ninapendeza na mida yote ninaenda kushinda pande za nyumbani lounge

Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
Yule mama kama alikua anaomba sasa atakua anamshukuru Mungu amejibu maombi. Cha kuazima hakistili makalio.

Waswahili husema malipo ni hapa hapa,inaweza kua kweli.

yule mama mnafki tuuu!
kaolewa tena AMESLIM(lkawa muislam)
Na ndoa yao ilikua na migogoro kabla ya jide sema jide kwa kua aliku maarufu ndo maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…