Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapuya alituhumiwa tu , hakubaka na ndiyo maana kesi yake ilikwisha. Sugu anamuacha mke wake wa ndoa, tena yawezekana kwa sababu ya yale yale ya DUBAI, hii haikubaliki kabisa. Namuona kama hafai kabisa kuitwa Mh. tena, kavuliwa nguo.
Sugu alimuoa lini Faiza?? Au hiyo ndoa uliwafungisha...
Coz yeye hana makuu, Faraja Robo anayopata inamtosha.....aliandaliwa kutotarajia Faraja Kamili.......sio wote bwana mbona faraja kota hajawahi kulalamika
Tatizo la hao mastaa wetu kila mwaka wana-turn 26 hapo hawavuki lol!
Mbona kaachwa siku nyingi...bado anabembelezea tu!
Sasa nani alisilim dini kati ya hao wawili?