Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

Kapuya alituhumiwa tu , hakubaka na ndiyo maana kesi yake ilikwisha. Sugu anamuacha mke wake wa ndoa, tena yawezekana kwa sababu ya yale yale ya DUBAI, hii haikubaliki kabisa. Namuona kama hafai kabisa kuitwa Mh. tena, kavuliwa nguo.

Sugu alimuoa lini Faiza?? Au hiyo ndoa uliwafungisha...
 
Huko insta kweli kuna shughuli....ndio imebaki njia pekee ya 'kuongelea'? Kila linalowakuta waja lamwagwa huko?
 
Anafuata sera za chama za kufukuza wake na ukiona hivyo anataka kupora mke wa mtu.
 
uku Marekani tunaamin kiongozi aliyeshindwa kuongoza familia yake ata uongozi hafai labda aombe msamaha
 
Komaaa sugu kama jina linavyosadifu kumkomboa mtz lazima kuna upande uyumbe
 
Kapiga chini mke na mtoto wake
 

Attachments

  • 1412103511788.jpg
    1412103511788.jpg
    70.6 KB · Views: 516
Mbona kaachwa siku nyingi...bado anabembelezea tu!
 
Sasa nani alisilim dini kati ya hao wawili?
 
Huu Ndio uwezo wetu watanzania kufikiri, tujadili mambo binafsi ya ndani ya nyumba ambayo Hayana tija kwetu. Wapo viongozi wengi tu wenye ma
tatizo makubwa ya nyumbani lakini wanaongoza vizuri ndani ya serikali hii ni wengi akiwemo jembe Magufuli.
 
Sasa ina maana huyu sugu alislim kuwa muislam kablanya kumwoa faiza au?
 
Back
Top Bottom