Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Ila Kanye nae anapendaga mademu fyatu fyatu [emoji1787][emoji1787]

Kabla ya Kim si alikuaga Ana mcharaza Amber rose .

Mwanaharakati wa Slut [emoji1]
Amber limetulia sana lile dada hata sikudhania...sasa hivi linalea second kid
 
Atakuwa ana contract na kardashian series zile ila daah...si angetafuta kazi sehemu nyingine
Nani anataka kufanya kazi na chawa [emoji1]wale ndio wanammudu

Kuna siku nilikuwa nacheki kipindi Chao akakatiza mtaani na makamerra yao akatoa mzee mmoja mzungu akamwambia "you are a trash" jamaa akapinic mbaya
 
Atakuwa ana contract na kardashian series zile ila daah...si angetafuta kazi sehemu nyingine
Yes watakuwa wanamlipa
Na wanashoot season ya mwisho
Sijui itakuwaje au atapata contract kwenye makeup na lipstick 😂😂😂
Wanampenda nadhani kwaajili ya watoto wale alozaa na dada yao maana naonaga wanamtreat vizuri kuna kipindi hadi walimpeleka rehab
 
Rehab?
Alikuwa anabwia unga kama Lamar Odom?
 
Nani anataka kufanya kazi na chawa [emoji1]wale ndio wanammudu

Kuna siku nilikuwa nacheki kipindi Chao akakatiza mtaani na makamerra yao akatoa mzee mmoja mzungu akamwambia "you are a trash" jamaa akapinic mbaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]hahaaa
 
Hahaahaahaa

Yule B. Sure sijui mshua wake Quincy ( yule mtoto wa kim porter wa kwanza) anasema kim kauliwa[emoji134]

Sasa sijui kweli, ila Diddy mafia, ukiongelea mambo ya kulipeleka mahakamani sijui udai nini fyokofyoko, linakuondoa bila kuacha blemish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…