Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Kanye nae Ni bilionaire na hata huyo Kim nae Ni bilionaire so hapo Kanye ndie ataumia zaidi

Unless huyo kims awe muungwana tu
MKUU kimu sio billionaire anavipesa Tu vya kawaida ......lakini ye ni balaa sanaaaaaaa
 
Usiogope kuingia kwenye NDOA kama unazo Mali nyingi eti kisa tu unahofia utapoteza Mali zako ikitokea Migogoro na Talaka.


Cha msingi ni jifunze SHERIA ZA NDOA. Kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Tafuta Wanasheria wa Masuala ya Ndoa...
Kisha wewe na mpenzi wako mkubaliane kuandaa kitu kinaitwa PRENUPTIAL AGREEMENT.


Wengi hawazingatii haya ya PRE-NUP AGREEMENT, sababu mapenzi mwanzo ni matamu na Kwa kawaida when you’re getting married, you can’t believe anything could go wrong. ila unfortunately, it often does.


PRENUPTIAL AGREEMENT (pre-nup) itakusaidia sana kukabiliana na unforseen circumstances which may rise during a divorce process.


A prenuptial agreement can help avoid much of the argument (migogoro) and litigation (kesi) which often comes with divorce or death of a spouse.


NB: kama huna mali nyingi basi huna haja ya Prenuptial Agreement.


Sababu ni jambo jema kugawana mali na mwanandoa ambaye umeanza naye maisha mkiwa wote Chini Kiuchumi na mkapanda Juu Kiuchumi mkiwa pamoja. (Started from the bottom, now we are here)



Karucee | Sky Eclat | mama D | Culture Me | witnessj | Malcolm X5 | babukijana | desayi | cocastic
Unaanzaje ku introduce hilo swala kwa mwanamke wa kibongo, atakuuliza ina maana una mpango wa kuniacha au?😂😂😂

Maana hapo mpaka kumuoa tu kashajifulisha sana nguo na kujipikilisha kwako. Na haamini kama ndio umemuoa
 
Unaanzaje ku introduce hilo swala kwa mwanamke wa kibongo, atakuuliza ina maana una mpango wa kuniacha au?😂😂😂

Maana hapo mpaka kumuoa tu kashajifulisha sana nguo na kujipikilisha kwako. Na haamini kama ndio umemuoa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anajilipa. Na kweli ukimuambia tu anaanza kuhisi humpendi. Na atajiliza liza vilio vingi.

Tatizo mahusiano haya yamekuwa ni kama zile Car Parking Lots zilizoandikwa "PARK AT YOUR OWN RISK"

ila kama unazo mali nyingi (utajiri) basi ni vyema kabla ya ndoa uchukue mwanasheria na uandae PRENUPTIAL AGREEMENT.

Hii itakusaidia sana kufurahia ndoa bila kuwa na mashaka. Maana YAJAYO YANAWEZA YASIFURAHISHE.
 
1.Lamar Odom -unga/kufulia NBA

2.Bruce jenner-ushoga

3.Robert Kardashian -kifo

4.Ben Simmons-nyota kufifia NBA (siku hizi hata haeleweki)

5.Ray J-kapotea kimziki

6.Tyga-sijui anafanya Nini Sasa nyota imefifia

7.Travis Scott-ndio anapotea potea kwa mbaaali Sana.[emoji1]

8.Kris Humphries -hana hamu na kim ,akapotea mazima NBA

9.Scott Disick-kageuzwa chawa wa familia Hana carrier yoyote inayoeleweka zaidi ya kukesha na makamera.

10.Tristan Thompson -yupo yupo tu Ila sio kama zamani hata ule urafiki na LeBron umepungua .

11.Kanye west-uchizi umetamalaki

Hao no baadhi tu

The Kardashian kurse is real[emoji1]

#1
#4
#8
#10
Wazee wa NBA chalii... Walipotea mwenyewe tu kama wengine wanavyopotea katika career zao. Wasiwasingizie The Kardashians.


Mbona JAMES HARDEN a.k.a The Beard yeye hapotei kwenye NBA, anazidi kufanya vizuri kila msimu licha ya naye kuwahi kutoka na KHLOE KARDASHIAN.


#2 😂😂😂 nimecheka mpaka basi!
#9 - huyu jamaa huyu 😂
#11 - huyu yeye uchizi wake kauanza kitambo sana even before getting himself kept up with the Kardashians.


Ulivyomaliza na KURSE = CURSE umeua kabisaaa kama wenyewe vile Familia Yao kwenye majina ya Kike likianza na herufi "C" wanaicha wanaweka "K"


Hata "Curse" wao wangesema "Kurse"


cc: Karucee , nimekutag sababu ulisema unapenda Basketball, maana NBA is the de facto pinnacle of basketball.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anajilipa. Na kweli ukimuambia tu anaanza kuhisi humpendi. Na atajiliza liza vilio vingi.

Tatizo mahusiano haya yamekuwa ni kama zile Car Parking Lots zilizoandikwa "PARK AT YOUR OWN RISK"

ila kama unazo mali nyingi (utajiri) basi ni vyema kabla ya ndoa uchukue mwanasheria na uandae PRENUPTIAL AGREEMENT.

Hii itakusaidia sana kufurahia ndoa bila kuwa na mashaka. Maana YAJAYO YANAWEZA YASIFURAHISHE.
Ni kweli maana uasi huanzia ndani 😂😂😂 !!! Kabla ya ndoa aah hamna mwanamke bora na wa mfano kama yeye!
 
Ni kweli maana uasi huanzia ndani 😂😂😂 !!! Kabla ya ndoa aah hamna mwanamke bora na wa mfano kama yeye!
akikataa Prenup Agreement basi unakuwa ushamjua ni wa kundi gani... So, Park at your own risk!


"Prenup Agreement" ipo kwa ajili ya kuwalinda wenye mali nyingi pale wanapotaka kuingia kwenye ndoa.


Pre-nup inawalinda wenye mali nyingi dhidi ya matapeli wa ndoa.


Money Heist katika mwamvuli wa Marriage.
 
Japo namiliki jaba 2 na kajiko ka mchina ila Pre-nup muhimu 😂
Kwenye Pre-nup Agreement yenu jitahidi kuandika kuwa Kama ikitokea siku mnaachana kwa talaka, wewe ndiye utakayebaki na majaba yote, ila yeye utampa asilimia 20% ya maji yote yatakayokuwa katika hayo majaba mawili, Lakini majaba yote yatabaki kwako.


Pia hiko Kijiko cha Mchina, andika wewe utabaki na Jiko Lako ila yeye utampa utambi mmoja na asilimia 12% mafuta yatakayokuwemo kwenye jiko kama ikitokea siku mnaachana kwa kutalikiana (talaka).


Kisha analeta mwanasheria wake, nawe unaleta wako, halafu mnasaini. Pia msisahau kuweka ndugu kadhaa kama mashahidi.
 
Kwenye Pre-nup Agreement yenu jitahidi kuandika kuwa wewe utabaki na majaba yote, ila yeye utampa asilimia 20% ya maji yote yatakayokuwa katika hayo majaba mawili, Lakini majaba yote yatabaki kwako.


Pia hiko Kijiko cha Mchina, andika wewe utabaki na Jiko Lako ila yeye utampa utambi mmoja na asilimia 12% mafuta yatakayokuwepo jikoni kama ikitokea siku mnaachana kwa kutalikiana (talaka).
Sawa kabisa kiongozi, atakabidhiwa utambi na mfuniko wa jaba tu
 
Back
Top Bottom