Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 644
- 718
Usiogope kuingia kwenye NDOA kama unazo Mali nyingi eti kisa tu unahofia utapoteza Mali zako ikitokea Migogoro na Talaka.Katika viumbe wa kuwa nao makini ni wanawake.
Yule wa Jeff's alimlia time mumewe Kisha kaopoa mabilioni ya dollar kwa kinachoitwa talaka. Mke kawa billionaire na mumewe wamempiku.
Kwa sasa hakuna kinachomfurahisha mwanamke Kama kuolewa na mwenye hela maana anajua lazima atoke na mzigo mzito Kama ndoa itaishia kwenye talaka.
Cha msingi ni jifunze SHERIA ZA NDOA. Kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Tafuta Wanasheria wa Masuala ya Ndoa...
Kisha wewe na mpenzi wako mkubaliane kuandaa kitu kinaitwa PRENUPTIAL AGREEMENT.
Prenuptial Agreement ipo kwa ajili ya kumlinda mtu mwenye mali nyingi dhidi ya matapeli wa ndoa ambao wanaoingia kwenye ndoa sababu ya tamaa ya mali, huku wakiwaza kwamba ndoa ikivunjika watapata mali.
PRENUPTIAL AGREEMENT (pre-nup) itakusaidia sana kukabiliana na unforseen circumstances which may rise during a divorce process.
Wengi hawazingatii haya ya PRE-NUP AGREEMENT, sababu mapenzi mwanzo ni matamu na Kwa kawaida when you’re getting married, you can’t believe anything could go wrong. ila unfortunately, it often does.
A prenuptial agreement can help avoid much of the argument (migogoro) and litigation (kesi) which often comes with divorce or death of a spouse.
NB: ila kama hauna mali nyingi basi hauna haja ya Prenuptial Agreement.
Sababu ni jambo jema sana kugawana mali na mwanandoa ambaye umeanza naye maisha mkiwa wote Chini Kiuchumi na mkapanda Juu Kiuchumi mkiwa pamoja. (Started from the bottom, now we are here)
Karucee | Sky Eclat | mama D | Culture Me | witnessj | Malcolm X5 | Mazigazi | babukijana | desayi | cocastic