Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Mmmh twin humjui Bey kwenye suala zima la ndoa! Yule dada anapenda ndoa kupitiliza!

Tena sasa bora hata Kanye kawa na 'a mere mentally disorder" but sio malaya!

Hov hachagui K yule kichaa twende, malaya choka mbaya twende, washona vyerehani yumoo....yaan ni mchafuu, lile hogoo ndani ya zipu limeficha mengi

NB

Hayo nimemnukuu Solo sijawahi hata kumuona huyo jigga[emoji848]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alisha kosana na jay z sizani kama bado wanaelewana.
Walikosana

Ila Jay anamkubal Sana Kanye coz Kanye Ni music genius .

Ila naona jay alikaa mbali na Kanye sababu hakutaka kujihusisha na familia ya kadashian na makamera yao na tabia Yao ya kudandia umaarufu cheap popularity..

Na hio imechagizwa na beyonce

Ila hio couple Wana heshima Sana kwa Kanye Kama kanye
 
Hahahah kweli kabisa Kanye namuonaga ana wazimu tu
Jamaa ana wazimu Sana [emoji1]

Ile incidence ya kwenye Grammy awards akapanda stejini kumnanga Taylor Swift kwamba hakustahili kupata tuzo ya mwanamziki Bora wa kike daaah nikiona aibu aisee[emoji1][emoji1]

Yaani hata Beyonce mwenyewe aliona aibu[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
Sikuamini walivyo achana dah
Diddy hakuaga serious tu Ila akashtuka demu kashamuacha kwenye mataa

Aliwahi mlilia insta huko akaweka picha ya MJ [emoji1]

akakatishwa tamaa baada ya Cassie kuzaa na trainer[emoji1]

Sikuizi anajiita MR LOVE [emoji1787][emoji1787]

Mi nahisi jamaa atakuwa ana stress sana
 
Kweli aisee watu wengi waliopitia kwny hio familia wameharibikiwa maisha kabisa.
1.Lamar Odom -unga/kufulia NBA

2.Bruce jenner-ushoga

3.Robert Kardashian -kifo

4.Ben Simmons-nyota kufifia NBA (siku hizi hata haeleweki)

5.Ray J-kapotea kimziki

6.Tyga-sijui anafanya Nini Sasa nyota imefifia

7.Travis Scott-ndio anapotea potea kwa mbaaali Sana.[emoji1]

8.Kris Humphries -hana hamu na kim ,akapotea mazima NBA

9.Scott Disick-kageuzwa chawa wa familia Hana carrier yoyote inayoeleweka zaidi ya kukesha na makamera.

10.Tristan Thompson -yupo yupo tu Ila sio kama zamani hata ule urafiki na LeBron umepungua .

11.Kanye west-uchizi umetamalaki

Hao no baadhi tu

The Kardashian kurse is real[emoji1]
 
Mmmh twin humjui Bey kwenye suala zima la ndoa! Yule dada anapenda ndoa kupitiliza!

Tena sasa bora hata Kanye kawa na 'a mere mentally disorder" but sio malaya!

Hov hachagui K yule kichaa twende, malaya choka mbaya twende, washona vyerehani yumoo....yaan ni mchafuu, lile hogoo ndani ya zipu limeficha mengi

NB

Hayo nimemnukuu Solo sijawahi hata kumuona huyo jigga[emoji848]
Hahahahaha daaah jiga kitombi
 
Back
Top Bottom