Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

[emoji28][emoji28][emoji1787]

Jiggaa anahonga balaa, mademu zake anawapa magorofa na mabentley...sema kitombi sana jamaa[emoji848]

Cassandra Ventura ' Cassie' ndo alitumika asee kwa Diddy, lile jamaa janja sana
Cassie ,Marehemu Kim Porter ,na baby mamaz wake wengine huwa anakula na kusepa

Sema jamaa ana pesa hao baby mamaz sometime "wanamkopesha"kimya kimya [emoji1]
 
Katika viumbe wa kuwa nao makini ni wanawake.
Yule wa Jeff's alimlia time mumewe Kisha kaopoa mabilioni ya dollar kwa kinachoitwa talaka. Mke kawa billionaire na mumewe wamempiku.

Kwa sasa hakuna kinachomfurahisha mwanamke Kama kuolewa na mwenye hela maana anajua lazima atoke na mzigo mzito Kama ndoa itaishia kwenye talaka.
nitarudi baadae kucomment
 
Kwa Mackenzie bezoz hata Mimi ningekuwa Jeff ningempa hela zaidi ya hizo .

Ametoka na jamaa from the scratch hakumkuta Jeff hata na u lakionea (in terms of USD)

Tatioz Jeff alikuwa anakula "Mali mpya " namba D

Usikute ile taste kwa mkewe ashaipoteza Sasa angefanyaje

Halafu Mackenzie nae angekuwa fair sana kwa jamaa la sivyo angedai nusu nusu

Just imagini una 40$bilions annual dividend unakula around 50$milions huko maisha yanataka Nini zaidi [emoji1]

Fair kabisa
 
Nalipenda likanye lipo cool japo ndio anaumwa maskin
Kim kasema wanataka kuachana kwa amani hataki ugomvi
 
Kwa Mackenzie bezoz hata Mimi ningekuwa Jeff ningempa hela zaidi ya hizo .

Ametoka na jamaa from the scratch hakumkuta Jeff hata na u lakionea (in terms of USD)

Tatioz Jeff alikuwa anakula "Mali mpya " namba D

Usikute ile taste kwa mkewe ashaipoteza Sasa angefanyaje

Halafu Mackenzie nae angekuwa fair sana kwa jamaa la sivyo angedai nusu nusu

Just imagini una 40$bilions annual dividend unakula around 50$milions huko maisha yanataka Nini zaidi [emoji1]

Fair kabisa
Absolutely, mimi pia binafsi sioni shida kugawana mali na mwanandoa ambaye nimeanza naye from the scratch (kipindi nipo vibaya kiuchumi)

Tena kama tuna watoto na tumedumu kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 15+ plus, hapo ndiyo kabisaaa naweza kumpa hata 60% na mie nikabaki na 40% tu.

Cha muhimu ni mimi na mwanandoa mwenzangu tuweke misingi ili mali nyingi ziende kwa watoto.
i don't want my kids to start from the scratch, i want them to pick up where i left off.
 
Sio wakristo hao?

Maana huwa hawaruhusiwi kuachana hata kama ndoa ni kajehanamu kadogo duniani
Hata Biblia pia nayo inatambua kuwa kuachana kupo.
Katika MATHAYO 5:32

Unawezajikuta wewe ndiye unayepambania ndoa, ila mwanandoa mwenzio yeye kila siku anazua Hulka na Tabia za kubomoa tu...

Hapo ndoa inakuwa imeshikiliwa upande mmoja tu kwa miaka mingi. ilihali ndoa ni pande mbili.
 
Back
Top Bottom