Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Kanye nae Ni bilionaire na hata huyo Kim nae Ni bilionaire so hapo Kanye ndie ataumia zaidi

Unless huyo kims awe muungwana tu
Mastaa wengi weusi huko USA wanapoteana sababu ya wanawake wa kizungu.
Wakishaoana kama Kanye na Kim talaka ndio mwiba wa kuhofia, Kama ni wachumba hapo ni kesi za ubakaji na kote huko taasisi za kisheria zitambeba mwanamke.
 

Hawamfikii kanyeView attachment 1673782
View attachment 1673783
 
Mwanangu Kanye nshamuonya Sana huyu demu toka tupo sekondari hanielewagi ani
 
Her family ni very manipulative inaonekana hata kwenye kpnd chao utawaona tu wana weza mtawala mwanaume kabsaaa
 
Her family ni very manipulative inaonekana hata kwenye kpnd chao utawaona tu wana weza mtawala mwanaume kabsaaa

Mi naona wako poa tu jamani
Na kuna cha kujifunza jinsi wanavyopendana na kuinuana
Wanapendana hawa watu kardashian na watoto walozaa Yaan wanawaweka karibu
 
Hivi katika sheria za Bongo kuna prenup pia?
Ndiyo ipo.
Prenup Agreement ni mkataba kwa ajili ya kumlinda mwenye mali nyingi dhidi ya matapeli wa ndoa.

Prenuptial Agreement, inatakiwa muifanye kabla ya kuingia kwenye ndoa kwanza. Mtafute wanasheria wawasaidie kuandaa mkataba wenu.

My take:-

Kama wewe na mwanandoa mwenzio wote mmeanzia chini kiuchumi (from the scratch) basi hapo huna ulazima wa kuweka Prenuptial Agreement.

Sababu ni vizuri kugawana mali na mwanandoa ambaye umeanza naye chini na mkapanda Juu mkiwa pamoja.

NB:

ila kama wewe ni mtu mwenye mali nyingi basi nakushauri usiingie kwenye ndoa bila kuandaa Prenuptial Agreement itakayolinda mali zako kama siku ikitokea mwanandoa mwenzako atataka muachane kwa talaka.
 
Ukisoma hizi comment.....

Utadhani wote hunu mnaishi marekani
Utadhan tunaishi mtaa mmoja na kina kim [emoji23][emoji23][emoji23]
Definitely, for sure watu wanavyocomment yaani kama vile wanafahamiana na hao celebrities wa USA.

Hususani comments zenu Wakuu witnessj na Dinazarde, Comments zenu bana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Yaani mnawachamba akina Beyonce, Kanye, Jay Z na Kardashians yaani kama vile mko nao jirani na mnaishi mtaa mmoja.

Twin kwa mwanaume mwehu kama Kanye acha Kim ashindwe, hata beyonce angeshindwa Kim kajitahidi sana
Kimdolishia beyonce kumeisha

Alidhani ndoa mchezo[emoji57][emoji57]

Mwenzie ana roho ngumu kama jiwe
Aah yule dada ni mfia ndoa...haaachiki mtu
Beyonce ni mbongo yule [emoji23][emoji23][emoji23]
Haachiki
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hapo kwa language, me sijaelewa, niliishia la 4 B
 
Bey wala hana moyo wa kumvumilia Hov kwa uchafu wake.
Bey kinacho mcost anaish km divah so haitaji skendo au crush, ndo maan anakuwa prop na ndoa.

Yaan kwa uchafu wa Hov hakna mwanamke atavumilia ni vile bas tyuuuh Bey hana namna.
 
Hahahahaha wewe ni mwehu Yaan umenifanya nimecheka balaaa
Huwa tunawafatilia ujue ni mastar wakubwa
Sasa ungewakuta kina Nalendwa wanavyosimulianaa habari za queen Wa Uk si ungechoka Yaan wanajua utafikiri wanaishi mle kwenye kingdom ya malkia elizabeth πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwisho wa mapenzi ni maumivu kweli. Maumivu kwa watoto wao, kwao wenyewe na kwa wapendwa wao..... ila heri kupeana nafasi kuliko kuishi kwa kuigiza na kuumizana
Wape ushauri bana najua wewe umejawa na hekima + mke bora [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…