ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Mastaa wengi weusi huko USA wanapoteana sababu ya wanawake wa kizungu.Kanye nae Ni bilionaire na hata huyo Kim nae Ni bilionaire so hapo Kanye ndie ataumia zaidi
Unless huyo kims awe muungwana tu
Wakishaoana kama Kanye na Kim talaka ndio mwiba wa kuhofia, Kama ni wachumba hapo ni kesi za ubakaji na kote huko taasisi za kisheria zitambeba mwanamke.