Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Kwakweli.
 
Kanye nae Ni bilionaire na hata huyo Kim nae Ni bilionaire so hapo Kanye ndie ataumia zaidi

Unless huyo kims awe muungwana tu
 
Black celebrity huwa wanaambiwa wasioe Hawa watasha huwa hawaelewi wanashoboka na rangi

Kuna yule docta Johnson huwa anawachamba Sana hao black celebrity .

Haya sasa kanye anaenda kuachana na huyo pornstar wa zamani

Arudi kwa Kaka yake jayz tunataka mangoma mengine ya "the throne "
 
Alafu Ajabu ile kideo yake ipo mpaka Leo kule pornin,
Mapenzi haya,kashindwa mpaka na zari,yake haipo siku hizi,
Watu wana Moyo sana
 
Ndg yangu huyu lusekelo 50 cent alipooana ngoma inaenda sipo akaenda na kibajaji mahakamani na kuandika muflisi mwanamke akaambiwa jamaa muflisi tufanyeje.
Jamaa yuko kitaa anakula bata tu mpk leo😂😂😂
 
Ndg yangu huyu lusekelo 50 cent alipooana ngoma inaenda sipo akaenda na kibajaji mahakamani na kuandika muflisi mwanamke akaambiwa jamaa muflisi tufanyeje.
Jamaa yuko kitaa anakula bata tu mpk leo😂😂😂
Maisha siku hizi kuviziana tu,huna chapaa utaleta msongo wa Mawazo tu ndani,
Ukiwa nazo?,jua utaliwa tu,angalia tiger woods mpaka Leo kapotea,
Mahustler hawa jayz pekee ndio mjanja,and cos he’s respected na jamii yote ya blacks,
Maisha Bila pesa ni uongo,na uncle magu ndio anatupeleka huko kwa kasiiii...
 
Tiger alipigwa pesa ndeeefu na Mswede,Koffi Annan pia mpk karudi kwao, Jayz kamiliki pale ,Kanye iilikua show off tu mwepesi sana.Ndo nimekwambia bro Dre kapigwa za uso juzi mpk leo kalazwa akifkiria investment yote aliyofanya demu anataka dola mil 2 + jamaa kapata heart attack .
 
To be fair, it is impossible to live with someone who is suffering severe mental illnesses,
Kim really deserve and honorary award for that, lol,

And i feel sorry for Kanye too, this is going to hit his pocket very hard, 50% OMG!
 
$2mil ni spousal support kwa mwezi mkuu,
Kuna mengi yanakuja baada ya hiyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…