Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Katika viumbe wa kuwa nao makini ni wanawake.
Yule wa Jeff's alimlia time mumewe Kisha kaopoa mabilioni ya dollar kwa kinachoitwa talaka. Mke kawa billionaire na mumewe wamempiku.

Kwa sasa hakuna kinachomfurahisha mwanamke Kama kuolewa na mwenye hela maana anajua lazima atoke na mzigo mzito Kama ndoa itaishia kwenye talaka.
 
Hii imezidi mda ambao ulitegemewa Ku last.
Wengi walijua haitafika miaka 10
Kumbe imezidi miaka 10
Uko sawa. Haiwezekani wengi wa hawa ma celebrity wasione mwingine yeyoye wa kuwaoa zaidi ya ma celeb wenzao!! Kwa hiyo strategy from day one ni kutumia ndoa kukuza brand zao, kuzaa then kila mtu na time yake!! Hata ile ya Will Smith kwa sasa sidhani kama ni ndoa!!
 
Kuna maisha nje ya mahusiano, kuachana ni 1 ya matokeo ktk mahusiano ya mapenzi. Maisha lazima yaendelee.
 
Sijui kwanini huwa inakuwaga hivi .. mapenzi Ni ufala Sana [emoji3]
Mapenzi yanajengwa na yanaboreshwa kila siku kwa matendo ya upendo na shukrani zaidi ili kuongeza thamani yake na ubora.
Msingi wa mapenzi unapokua kwenye vitu, wapenzi watatumiana ili kupata hivyo vitu vinavyowavutia na sio upendo wa wanandoa. Kidogokidogo kila mmoja anakua mpweke ndani ya mahusiano mapenzi yanakua ya muda mfupi tuu
 
Hehehe watu ambao Ni very decent huwa tunajitahidi kuwa na utu upendo dhahiri

Lakini hayanaga formula haya dada yangu [emoji3][emoji3]
 
Ohoooo shauri yako ... Tuishi tu rafiki yangu hii dunia sio yetu
Kabisa, ila mapenzi buana. Unaweza kuwa unampenda mwenzio 100% halafu yeye akawa ameshaku kinai 100%🙌🙌🙌

Usipoikubali hali utawakilisha Ile usemi wa "mapenzi ni maua tena yanaua"
 
Kabisa, ila mapenzi buana. Unaweza kuwa unampenda mwenzio 100% halafu yeye akawa ameshaku kinai 100%[emoji119][emoji119][emoji119]

Usipoikubali hali utawakilisha Ile usemi wa "mapenzi ni maua tena yanaua"
Yaani Daahh acha tu rafiki yangu .. tatizo binaadamu hatutabiriki always niwepesi wakubadilishwa na mazingira pamoja na watu wapya tunaokutana nao ... Kwakweli usiwe na expectations zozote kubwa toka kwa binaadamu mwenzio itakuja iku cost na utapatwa na kichaa bure
 
Dah! kanye ni billionare mjue...anamzidi jayZ huyo...kwahyo wakigawana Kim anapiga pesa kinoma
 
Back
Top Bottom