Kala kona
Kama unanihurumia rudisha ndoa yetu basinakuonelea huruma kwa kuambatana na huyo muhuni
Asante kwa moyo wako wa upendo.hii ndoa haiwezi kurudi tena nenda kwa huyo muhuni wako
Watachonga mchana eeeh na usiku watalala
Kama kunipendaaaaa nanipenda sana
Ni TID na wimbo wa Watasema
Hahahahahahaaaaaaa aisee Vin Diesel umenichekesha kweli aiseeFanya mbwembwe zote ila hutazifikia za nitts....siku ya harusi yake alimleta saida karoli...
Hahahahahahaaaaaaa aisee Vin Diesel umenichekesha kweli aisee
Hapa ni KIZUNGUZUNGU tuHa ha...na wewe jibu mapigo kwa kumleta sharo mwenzio Bob juniour...
Hahahahahaha! Mbavu zangu jamani lol.Fanya mbwembwe zote ila hutazifikia za nitts....siku ya harusi yake alimleta saida karoli...
Sasa mbona unamchafua tena?hii ndoa haiwezi kurudi tena nenda kwa huyo muhuni wako
ila huyu mtoto ni sweety sema ndio hajatulia
sweetlady achana na sharobaro Erickb52 yuko na Kipipi muda huu kwenye mapango ya amboni twende zetu kwenye mazoezi ya kwaya tuna wimbo mpya leo
Vin Diesel usiache mbachao kwa msala upitao
Mungi na wewe unaungaunga na Lily Flower mwambie Blaki Womani akusaidie kubembeleza