Hahahahahaha! Sura na roho sare sare?? Mke mwenza mwambie shemeji Paw nahitaji mbavu za bandia lol.Shemeji kumbe roho na sura yako viko saresare. Hapo na uhandsome huo ukiongezea na machale, mhhh! Hongera kwa maamuzi magumu mwaya.
Uje umchukue manake babangu halei watoto wa watunilishapima hilo halina ubishi
Hajalisha kitu coz nimechanjwa mimi hakuna cha kunidhuru mie
Uje umchukue manake babangu halei watoto wa watu
sweetlady nimekuandalia mvinyo aina uipendayo na kilaji cha uhakika njoo mazoezini
Ila hujanipa nafasi ya kujitetea, umeishia kuamini maneno ya wapita njia na wasiopenda kuiona ndoa yetu inadumu! Nasikitika manake wewe pia una makosa mangapi? Mbona mie nimekuvumilia na kukupa nafasi mara kadhaa? Poa mie naheshimu maamuzi yako japo inaniuma!
natamani kuchangia mada lakini nashindwa nifanyeje?Naona watu wanazidi kupitiana cha mbavu!
Pole kwa aliyeumia.
natamani kuchangia mada lakini nashindwa nifanyeje?
mkuu nahitaji msaada huenda yana faida kubwa thats why nakuuliza usinitenge iam serious mkuuhuelewi na hutakuja kuelewa kamwe