Mazoezi gani hayo ya kunywa wine badala ya maji....unanitia shaka...
Vin Diesel ni ya kwaya tuu aise hakuna kingine
Tunaimba huku tunakunywa wine na sweetlady
nitonye anajua aina ya mazoezi hata ukimuuliza Serickb52 anayajua
sweetlady zoezi la leo lilikuwa muafaka kabisa zuri na tamu niaje aise
Last edited by a moderator: