Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
huyu nae hana inshu ndio walewale, hujambo lakini
me sijambo hofu kwako mpendwa?
huyu nae hana inshu ndio walewale, hujambo lakini
Usianze kumwaga mchele! Jioni irushe wajionee wenyewe lol.mda huu nipo na sweetlady tunapanga kurusha thread yetu tupo Manyara National Park, tukitola hapa tunaungana na wenzetu baadhi kutembelea vituo vya kulea watoto waishio katika mazingira magumu.
Usianze kumwaga mchele! Jioni irushe wajionee wenyewe lol.
Hajalisha kitu coz nimechanjwa mimi hakuna cha kunidhuru mie
Roho inauma ila lazima maamuzi yafanyike, najua Mr Rocky atafurahi kama ndama
mie mzima namshukuru mola nimelitua zigo vipi jioni utapitia kwangu?
Hahahahaha! Mwaaaa! Mwaaaa! Mwaaaa! Nothing to add lol.ndoa nazo zina expiring date jaman basi ikifika tunaitupa kwenye dustbin kwan kuna tatizo????
Mi naona sawa tuu afterall my sis sweetlady bado hot n sex n above all beautiful sasa kwanin ang'ang'anie zamadamu