Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Kweli nimeamini mtalaka hatongozwi...!! Huyo aliye na sweetlady hivi sasa anatakiwa awe na roho ya paka.
We nae , haya naongea na mzazi mwenzangu wewe yamekupataje? Tupishe huko.
 
Last edited by a moderator:
Kweli na wewe msimu wa kilimo unakupoteza, Husninyo yupo kitambo, sasa amerejea kwa ari, nguvu na kasi mpya ila sio kama JK..

kweli hii kazi ya shamba iliniweka mbali sana na JF, lakini nami nimerudi kwa nguvu na kasi mpya.
 
kweli hii kazi ya shamba iliniweka mbali sana na JF, lakini nami nimerudi kwa nguvu na kasi mpya.
Karibu tena! m MP Husninyo kumjulisha kuwa umerudi kwa kasi kama yeye lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…