Umeonae? Hata mwandiko ni ule ule! Sura ndio kabisaaa.Nipo na nimemuona anajidai si yeye wakati hajabadilika kitu chochote.
Umeonae? Hata mwandiko ni ule ule! Sura ndio kabisaaa.
waoooh katavi wangu! Lol
Nilikuwa mashambani na sikujua kama umerudi....nilikumisije??
acha majungu swahiba! Lol
Shamba kwema kabisa, nasubiri mavuno..mi nilikumiss hadi nikaugua kwa mawazo, nikaona nisije kufa wakati katavi wangu upo jf umejaa tele! Lol!
Hbr ya shamba?
Hayo ya kumpenda nitonye ntakuPM mke mwenza.
Mungi kunitosa hawezi, sema mie ndie simtaki manake siwezi vita na Lily Flower
waoooh katavi wangu! Lol
Hahahahaha. Amegraduate mwezi oct, hv hakukualika eeh? Afu amekuwa jambazi sugu lolIle kozi ya ujambazi ulishagraduate eeh? Hongera mamaa.
afadhali unyamaze maana..... mmmhHehehe! Nanyamaza mie
vuna baba tuje kuspend.Shamba kwema kabisa, nasubiri mavuno..
Ile kozi ya ujambazi ulishagraduate eeh? Hongera mamaa.
Hahahahaha. Amegraduate mwezi oct, hv hakukualika eeh? Afu amekuwa jambazi sugu lol
Hahahahaha. Amegraduate mwezi oct, hv hakukualika eeh? Afu amekuwa jambazi sugu lol
Mhhh wewe nae ulikuwepo mbona sikukuona shosti