Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Trust me.
Tatizo lipo kwa mwanaume hapo.
Mwanaume atakuwa ni shoga aka mchicha mwiba.

Ndoa za dizaini hiyo zinaishiaga hivyo,kimya kimya kwa kufichiana aibu
Tatizo lipo kwa mwanamke,wanawake hawagandishi.Ingekuwa tatizo lipo kwa mume,angekuwa karopoka kitambo
 
Nilikuwa naziangalizia online tu halafu nafuta browsing history.
Kuna jamaa alikuwa na external hard drive ilikuwa imejaa video za hao jamaa
Hao jamaa ndio waasisi wa kutumia neno ebony na oiled @$$. Jamaa walikuwa serious na commited na kazi yao ya kupeleka moto. [emoji23]
Ebony hua ina maana gani?
 
Kuna wengine nao kwenye mahusiano walidumu miaka 10 baada ya kufunga Ndoa walidumu miaka Miwili tu ya kupigana na kushikiana Visu baada ya hapo Ndoa ilivunjika.
 
Back
Top Bottom