Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Trust me.
Tatizo lipo kwa mwanaume hapo.
Mwanaume atakuwa ni shoga aka mchicha mwiba.

Ndoa za dizaini hiyo zinaishiaga hivyo,kimya kimya kwa kufichiana aibu
Tatizo lipo kwa mwanamke,wanawake hawagandishi.Ingekuwa tatizo lipo kwa mume,angekuwa karopoka kitambo
 
Ebony hua ina maana gani?
 
Kuna wengine nao kwenye mahusiano walidumu miaka 10 baada ya kufunga Ndoa walidumu miaka Miwili tu ya kupigana na kushikiana Visu baada ya hapo Ndoa ilivunjika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…