Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Kwa mimi km unaanzia safari ubungo, hata kimara butcher hutoboi biashara ishaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena kwa mwendo wa bus za mkoa
Hahahah kwahio unamiliki spido au sio 🤓 🤓 🤣
 
Mwanamke mmoja tu anakushinda , hao wawili au zaidi utawaweza au unajiongelesha tu hapa
 

Kweli akili huna
 
Hapo chacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwahiyo yule manzi anayetaka nikuunganishe nae unataka aniue na nishamwambia sisi ndugu!!

Sa itakuwaje?! [emoji2222][emoji2222]
Kwa sisi ma Cousin haina kambaya
 
Kwa mimi km unaanzia safari ubungo, hata kimara butcher hutoboi biashara ishaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tena kwa mwendo wa bus za mkoa
Cute wife itabidi nikutafute, unaishi mkoa gani
 
biblia haijawahi kukataza kuoa wake wengi
kama kuna mtu anajua aya iliyokataza atujuze
 
umeandika maneno mengi ili kutuchanganya tu mkuu. Hiyo kuoa wake wengi ingekuwa na uwalakini waoaji wangekemewa, tuonyeshe hata onyo moja kwa kuoa wake wengi.
Hao watu wa zamani , waliokuwa wakiongea na Mungu walikuwa na wake wengi
SaMWELI ,nabii na mwamuzi kwa kipindi chake ni zao la ndoa ya wake wengi, yaani baba yake alikuwa na wake wengi,zaidi ya mmoja
Huyo baba wa taifa la Israel Yakobo alikuwa na wanawake wawili ,wote aliwaoa kwa baba mmoja na michepuko( house girls) miwili iliyojulikana
na alizaa nao wote hao wanne kutengeneza taifa takatifu ,teule la Israel
 
Hayo ni maoni ya Paulo sio amri ya Mungu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kutoka 21:10Biblia Habari Njema (BHN)

Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa.

Someni hakuna sehem kwenye bibilia imezuia kuwa na wake w engi, and actually kuwa na mke mmoja sio utaratibu mungu aliwawekea wanadam. Hata mitume na manabii wapowengi tu waliooa wake wengi. Ukiwa na wake wengi unakuwa na busara kama selemani.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Fantastic[emoji257]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwani nani kakutataza kuowa wake watatu watano ila usijeanza ongea pekee yako barabani ukadhani umelogwa
 
Hii dhana ya kua wanaume tuko wachache ni nadharia haina uhalisia ,kidunia wanaume ni 50.4% wanawake 49.6% na Tz wanaume 49% wanawake 51% almost tuko sawa ,kinachosababisha wanawake wasiolewe ni standards wanazojiwekea wakiwa bado around 20 maringo mengi but nuru ikipotea huanza kutafuta wakuwaoa ,narudia kusema ni ngumu kukuta mwanamke ambae hajawahi kupata mwanaume wakutaka kumuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…