Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Fantastic[emoji257]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Umeandika mengi sana hata kusoma yanachosha ila una uhakika Mungu aliumba mwananke mmoja kwa adam au umekariri. Adam aliumbiwa wake 2 na mungu eva alikuwa ni mwanamoe wa 2 baada ya mwanamoe wa kwanza kukimbia na kupotelwa mbali ndo akaumba mwingine kutoka katika ubavu
. Nimesoma sana bibil8a ila jimesoma na vitabu vinginw vingi vywnye maarifa kuliko bibilia. Utashangaa nikikwambia mungu hakuumba binadam, and hakuna kitu kinaitwa mungu

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Mimi nikioa wake wawili itakuaje??? Maana Kila mke ataniita mume wangu so Haina shida!!!
 
Ulichoongea ni uhalisia haswaa, kinyume na hapo ni kupingana na maumbile tuliyoumbwa.
Usikute mtu anakuja kubisha hapa kwa mihemko yake lkn hajaoelewa na nanga inapaa, au kaoa ila nje anavimada wa3+ na hawezi kuwaoa tena zaid ya kuwatilia usiku.
Athari yake ktk jamii kundi kubwa la wanawake wasioolewa wanakuja kuvuruga ndoa za watu utulivu unakosekana.
HAKUNA MWANAUME DUNIANI ANAETOSHEKA NA MWANAMKE MMOJA(lbd kama hayupo sawa kiafya au kiuchumi)
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Hahahahaaha umesisitiza sana
 

Kuhusu Ndoa​

7 Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. 2 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
"Mwenyewe" ni tofauti na "wa peke yake"! mwenyewe hapa inaonesha uhalali wa umiliki. Ingekuwa neno "wa peke yake" hapo ndo ingemaanisha umiliki wa kipekee.

Hiyo chini ni same verse from English bible:-

"...7 Now for the matters you wrote about: “It is good for a man not to have sexual relations with a woman.” 2 But since sexual immorality is occurring, each man should have sexual relations with his own wife, and each woman with her own husband."

Na hapo ni kabla hatujaenda deep zaidi kuangalia nani alikuwa anazungumza na kumwambia nani.
 
Kama mtu unaona sheria za kikristo huziwezi hamia dini unayoiweza uzuri wakristo hatulazimishagi mtu awe mkristo wala hatung'ang'anii watu, walaa anayehama hatishiwi kuuwawa...sheria hatubadilishi
 
Kuoa mchezo?

Huo uislamu wenyewe unaoruhusu kuoa wanawake wa4 wanaume wameshindwa kutekeleza.

Mke mmoja tu anakutoa jasho zaidi ya hapo utaweza wapi?

Dini na ziheshimiwe na watu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…