Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Tatizo watu huwa wanalete vifungu bila kujua aliyeandika ni nani?kama Paulo,hata usijisumbue sababu alikuwa mtu kama wewe
 
Wanawake wanaolewa acha zako...Kama ana vigezo lazima aolewe ishu ni tabia amini hivyo.

Mi nachangia mpaka nachoka wengi wanaolewa yaan, yaani wale Top walikuwa na maadili na hofu ya Mungu wote wameolewa ...Achana na single mothers hao.
 
Wacha wale jeuri yao bwana....wana nyodo sana wakiwa bado wabichi.
Hapa ni mwendo wakuzalisha single mama tuu mpaka atie akili
 
Kwahiyo nabii seleman na yakobo walitenda dhambi?
 

Ni upuuzi tu hakuna hoja ya maana hapa,kama ni kosa kwanini Mungu aliruhusu makabila 12 ya wana wa israel yatokane na wanawake wa4 kwanini hao wana 12 wasitokane na mke mmoja,acheni upotoshaji hakuna kosa kwenye kua na ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwanza ni mbaraka hata kwa kanisa,uzungu umeharibu jamii zetu katika hili.
 
Wewe ni mataifa na Sio myahudi hivyo tii maagizo,Uzungu Sio Ukristo.
 
Umesahau kuwa wokovu wa toka kwa yahaudi,msingi waimani hii unatoka kwa wayahudi ambao walikua na ndoa za mitala na Mungu akawabariki zaidi,unadhani bila ndoa za mitala wayahudi wangeweza kuongezeka na kuwa wengi??
Ilikua ni hitaji la wakati ule ili kuboost population.
Kwa Sasa wayahudi si Wakristo pia awaongozwi na misingi ya Kikristo
 
Ilikua ni hitaji la wakati ule ili kuboost population.
Kwa Sasa wayahudi si Wakristo pia awaongozwi na misingi ya Kikristo

Ila wakristo wanaongozwa kwa misingi ya kiyahudi,hilo huwezi kwepa,kuna uyahudi ndani ya ukristo ila hakuna ukristo ndani ya uyahudi.

Ndoa za mitala sio dhambi ila ni ushauri tu ambao si sheria,ndio mana mitume na manabii na wafalme walipooa ndoa za mitala hawakuweza kukemewa wala kuadhibiwa maana sio dhambii.
 
Nadhani inategemeana na generation Kama mke mmoja tu tabu wengi si unakufa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…