Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Hata wakiruhusu hawataoa
ndoa ya kikristo garama sana
juzi kuna sherehe tumefanya ya mil 25+ mimi kama mwanakamati nikawaza tunasafari ndefu sana mpaka kuolewa
Hoja yako ina mashiko hasa ukizingatia hiyo mil 25+ inachangwa na jamii nzima ambayo maharusi wamewahi kujuana nayo! Ndoa inapaswa kuwa ni jukumu la muoaji na ikibidi basi iwe ni familia yake kwa ukaribu kabisa. Sio mambo ya kufanya kama mnatengenza show na kiingilio ni kiasi kadhaa! khaaa! double kuna kiwango chake, single kuna kiwango chake. Tunayataka makubwa na hatuyawezi, huu ni udhalili wa hali ya juu kabisa. Mentality ya kijinga kabisa hii ya kupenda makubwa kwa mfuko wa watu wengine.

Ndoa inapaswa kuwa simple so that almost everyone can afford, na tamaduni ya kwamba lazima uwe ombaomba kisa unataka kuoa iondoshwe kabisa.
 
'Kristo hakuoa kwahiyo na WAKRISTO wasioe' JIBU: kuoa au kutoolewa Ni MAAMUZI ya mtu binafsi Wala sio kuoa mke zaidi ya mmoja hiyo sio MAAMUZI binafsi ya mtu! Kristo hakukataza MTU asioe au asiolewe Ila alikataza MTU kuoa mke zaidi ya mmoja.
Wapi kakataza? mtaanza "Mtu atatoka nyumbani kwa wazazi wake afuatane na mke wake ..."
 
Nyie ndio mnaopotosha watu kulinda mila za wazungu tu kupitia dini. Haya tuchambue andiko lako hili kwa kina.

1. Nani alikuwa anasema maneno haya? Ni Mungu? Ni Yesu? Jibu ni HAPANA. Maneno haya yalisemwa na mwandishi nafikiri ni Luka.

2. Maneno haya ni amri au ni ushauri? Jibu ni kwamba ni USHAURI na sio sheria. Ukisoma hapo hadi mstari wa 6 na wa 7 anasema:

"6 Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri.
7 Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi." Hapo hakuna sheria ya kuoa mwanamke mmoja. Acheni kupotosha watu. Biblia nzima haijatoa amri ya kuoa mwanamke mmoja.

3. Mstari huo unaongelea maoni ya muandishi (nadhani ni Luka) kuhusu yeye anavyotamani watu wawe kama yeye, hayasemi chochote kuhusu mwanaume kuoa wanawake zIdi ya mmoja. Biblia hakuna inapozuia mwanaume kuoa wanawake zaidi ya mmoja.

Acheni kutetea ukoloni wa kimila kutoka kwa wazungu kupitia dini. Sisi tuna mila zetu za kiafrika za kuoa wanawake wengi na sio dhambi, makanisa yaruhusu tu.

Kinachosikitisha makanisa haya yanayosema kuoa wanawake zaidi ya mmoja ni dhambi yameshaanza kuruhusu ndoa za mashoga na wasagaji. Hata haya ya huku Afrika yataanza kuruhusu muda sio mrefu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Acha kuokoteza maandiko na kuunga unga mkuu. Nyir ndio nnaoipoteza dunia kwa kutafsiri ujinga. Leta maandiko straight yanayokataza mwanaume kuoa wanawake zaidi ya mmoja. Acha kujaza server za watu bure. Kama kuna maandiko yanayozuia uasherati, uzinzi, kufira, n.k moja kwa moja kwa nini yasiwepo ya kuzuia kuoa wanawake wengi? Na mbona watumishi wengi wa huyo mungu wenu kwenye biblia walikuwa na wake wengi na bado Mungu aliwapenda?? Hatutaki mistari ya kutafsiri, tupe mistari ya moja kwa moja
 
Mkuu upo sahahi 100% hapo wakristo tulipigwa na kitu kizito na hapa tu ndo waislam Huwa nawapendea.
Mimi napenda kudinya kila siku lakini wife akinipa siku moja basi ujue kupewa Tena Hadi siku 3 zipite au zaidi yaani sometime Hadi nitie ubabe ndo naweza mkaza walau siku 2 mfululizo.
Hii Kwa wenzetu ukipiga hapa Leo, kesho Kwa bimdogo yaani ni kufanya rotation Hadi Raha.
Sometime Huwa nafikilia niwe muisalamu tu Kwa ajili ya hii kitu na kupiga nje sijui Kwa Nini sipendelei sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…