Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

Mkuu mbona umeandika kwa ghadhabu sana? Hivi ingekuwa wanaume ndiyo wanabeba mimba, hahaahah sipati picha hao watoto wangechanganywaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamjui tuu maumivu yake nyie....
 
Ili muendelee kutubambikia tuu watoto kisa mnajua dna wataichakachua.
Aisee...bora tule mbususu na kusepa tuu sio kuwaweka ndani
Wanaume::::: Wanawake ambao awajaolewa watafute mabwana waolewe. Wanawake:::::Si lazima tuolewe, si lazima tuolewe
 
nchi imekaa kitapeli tapeli hii
 
Wanasema kitanda hakizai haramu, sku hizi ndoa n muunganiko wa wasaliti wawili walioumizwa na kujeruhiwa mioyo yao na wapenz wao wa awali walio wapenda sana.

Hakuna tena upendo wa dhati, wamama wanazaa na wapenz wao wa zaman walio wapenda sana ikatokea tu wakashndwa kuoana lkn uhusiano baina yao haujawah kufa waliweka maagano ya kutokuacha na kuzaa pamoja. Unaweza kuta baba una watoto wa3 lkn wote s wako au ukaonewa huruma akakuzalia mtoto moja.

Kwa wababa nao n vivyo hivyo, na hatuwez badili hili maana kila sku watu wanajeruhiwa na kuumizwa mioyo na waliyoumizwa wanawaumiza wengne yaan ww mshukuru Jah kwa kila kitu.

Usjipe presha kupima maana itakupa smanz na huzuni tele, unaeza kuta una watoto sita na wote s wako umewalea na kuwasomesha pia . πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Kuzingatia "MASLAHI MAPANA YA USTAWI WA MTOTO NA KUEPUSHA MIGOGORO YA NDOA."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…