Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

DNA haina ishu babuu... Hakuna DNA ambayo iko tayari kumuacha mtoto bila baba ama mama kukosa ndoa... Na ndo maana kuna hatua ndefu sana mpaka kupata vipimo vya DNA
Hakuna hatua ndefu mie nishafanya
 
Mi najuaga sifa ya wanaume ni kulisikia jambo na kulifanyia uchunguzi + maamuzi taratibu sasa mwanaume hadi unaacha familia kisa maneno ya kusikia tena kibarazani. Inafikirisha sana. 🤔

Haya akafanye hiyo DNA japo asisahau kuwa wenye hiyo ndoa ni yeye na Mke wake na sio hao majirani.
Kwa hiyo ni sifa kulea watoto wa watu hapana ili singing mkono hata kidogo usifanye watu waaishi maisha yasiyo na furaha kisa eti ndoa iendelee
 
Back
Top Bottom