Mi najuaga sifa ya wanaume ni kulisikia jambo na kulifanyia uchunguzi + maamuzi taratibu sasa mwanaume hadi unaacha familia kisa maneno ya kusikia tena kibarazani. Inafikirisha sana. 🤔
Haya akafanye hiyo DNA japo asisahau kuwa wenye hiyo ndoa ni yeye na Mke wake na sio hao majirani.