Ndoa yangu changa inataka kuniua

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nilikua sina raha ila kwa hii comment yako nimecheka sana mkuu
Sipati picha mkuu akiuzwa[emoji38][emoji38]yeye na viatu vyake
Hii ndiyo raha ya JF.

Anauzwa alafu bei ya kutupa. Auzwe na viatu? Mpaka afike hapo hana tena viatu.

Yamebakia malapa ya uani. Ndiyo mkuu akimbie nazo.
 

Una watoto naye?
Mazuri yake ni yapi mkuu.
Ni dhahiri maamuzi ya kumuoa uliyafanya kwa hisia.
Pia naomba kabila lake.
 
Mkuu cha kufurahisha yeye sio mtumiaji wa pombe, na pia kabla ya ndoa vyombo vilikua hajikai ila sasa hivi ndo kama hivyo mpaka asikie njaa nod vinaoshwa
 
Nashukuru mkuu, nitajaribu maana nimepata ugumu kwa sasa kushare hizi na ndugu na jamaa.
 
Pole sana mkuu! Ni ngumi sana kumbadili tabia hiyo kwa haraka haraka itachukuwa muda na uvumilivu na hekima pia..!

Kwa mtazamo wako unahisi anakupenda kweli ?

Una uhakika kuwa hiyo mimba ni yako?
Nani alileta mawazo ya aliharakisha ndo?
Kusema ukweli kwa sasa sina uhakika alinipendea nini, nilifikiri ni vile ninavyomjali lakini sina uhakika.
Mtoto ameshazaliwa kwa kweli siwezimkataa.
Hilo wazo nililipata baada ya kutoona kasoro kwake na pia ili nimuwezeshe amalize shule bila stress
 
Mpige talaka aende zake maana ukiendelea nae utakuja chukua maamuz magumu yatakayokupa majuto badae, huyo sio mdokozi bt anafanya kusudi na analake jambo
Nakushukuru mkuu kwa ushauri wako
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako, kwa jinsi navyoona huko ndo tunapoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…