Ndoa yangu changa inataka kuniua

Mmh au ni hiyo mimba imekuja na style hiyo?!

Tabia ya udokozi ni changamoto aise
 
Kusema ukweli kwa sasa sina uhakika alinipendea nini, nilifikiri ni vile ninavyomjali lakini sina uhakika.
Mtoto ameshazaliwa kwa kweli siwezimkataa.
Hilo wazo nililipata baada ya kutoona kasoro kwake na pia ili nimuwezeshe amalize shule bila stress
Inawezekana hakupendi ila yupo na wewe umtimizie mahitaj9 yake kama hayo ya kumsaidia amalize chuo, kulea mtoto n.k

Inawezekana ana akili ndogo anaendeshwa na mtu wa nje huko anayempenda kuliko wewe .. anamuhonga pesa au ana muhudumia anaiba hela kufanyia nini??
Akikamilisha mission zake atakuacha kwenye mataa joandae kisaikolojia
 
Kamata mwizi[emoji16]
Mtoto wa kike kuwa mdokozi ni sifa mbaya sana[emoji41],

Hata kama uwe pisi kali kuzidi makali ya kisu cha ngariba,

Utasikia,,,,,,,,yule dada mzuri lakini mwizi[emoji23]
 
Jamani mkuu ndo kuiba.
Labda nyumban kwao wanashida sanaa na yeye ana tegemewa nyumbani kwao
Ye ndo wa kwanza kutegemewa...
Ila sawa tu acha limkute mkuu hapa. Mambo ya kuangalia shindu, msambwax ...ndo hayo. Pisi kali mikono mirefu....

Kila mtu hupata anachostahili. Dont ever marry for the wrong reason. Ila miaka nenda rudi mambo ya ndoa husemwa humu ila hatujifunzi tooo sad...

He deserves it probably....
 
Mi naona ana tabia za kawaida tu za kitoto zinarekebishika kabisa
 
Mmeshaambiwa msioe ila HAMSIKII.
Mwana kulitaka = mwana kulipata.

MSIOEE Acheni UBISHI.

#YNWA
 
Pole mkuu ingawa wanasema utapewa wa kufanana naye ,Hebu jichunguze una kasoro zipi zinazorekebishika ndio ukae mdadavue kabla ujamuacha mlimbwende msomi.
 
Embu fuatilia historia ya kwao ipoje, tabia za mama yake/mlezi wake itakupa mwanga wa wapi pa kuanzia.
 
Kumbe!!!!

Basi vumilia tu,hakuna namna.
 
Nahisi anamahitaji makubwa ya hela ila bado sijui anafanyia nini maana kuna mwezi nilimpa nusu ya mapato yangu kwa ajili ya kuendesha shughuli zote za nyumbani kwa huo mwezi lakini nililipa mwenyewe bili zote za huo mwezi kwa nusu mwengine
Nyumbani kwao Wana uchumi wakati au wa chini?? Maana mpaka ulihamua kumuoa lazima utakuwa Una ya jua maisha ya familia Yao.
 
Bwaga zigo mkuu

usipoangalia utalea familia ya mapanja

wengine wana laana za urithi
 
Umeona sound system yenye asili ya ukibaka,huna mke hapo unakibaka mzoefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…