Ndoa yangu imetengenezwa mbinguni, nafurahia sana

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana.

Usikatae ndoa, kataa wahuni wanaotaka ndoa. Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na wakike wapate waume wenye sifa kama zangu. Nikiambiwa nioe tena nitamuoa huyu bint bila kufikiria mara mbili.

Mpaka leo bado nainjoy everything of her.

My dedication to her is "perfect" by Ed sheeran.
 
Lau ungeandika kiswahili ungeleweka vizuri na kuficha baadhi ya mapungufu. Waswahili! Pia, mafanikio yako katika ndoa yafanye siri yenu vinginevyo unaita wabomoaji na unaweza kukumbuka maneno haya. Unachofanya huitwa ulimbukeni na ulimpyoto kama siyo unywanywa
 
Mkuu kwani Kuna kiingereza gani hapo ambacho hakiwezi kueleweka?
 
Ngoja wazoefu waje kukupa muongozo..
Bila shaka itakuwa ni miezi sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…