Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,406
- 11,258
Uko sawa kabisa.Yote hayo uliyo orodhesha ni sababu zinazopelekea wengi wetu kujaa sumu kuhusu love relationship, vile wanadamu hatuna uwezo wa kuona ya mbeleni ama kumjua mtu kiundani mpaka siku mabalaa yatukute. Mapenzi ya kweli naamini bado yapo shida ni kukutana na watu sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Personally hua nafkiria its best kujaribu kujua kwanza jindi ya sisi wenyewe on a personal level kuhakikisha sisi ni watu sahihi.
Then kuangalia vigezo ambavyo mtu tunaetaka kuwa nae anatakiwa kuwa navyo, na pia kama vinaendana na sisi.
Then hapo ni rahisi kujua mbivu na mbichi.
But worse enough tunakua tumebeba mizigo ya dissapointments kibao then unaenda kujarb kutengeneza another relationship ambayo bila kujua unakua unambebesha mwenzako matatizo na insecurities ulizotoka nazo huko nyuma ambayo si sawa.
Nadhani ingekua vyema if people would get muda wa kutosha just to date and get to know each other on a depper level. Problem yetu wabongo n kua tukishaanza kudate in like 2 weeks tayar tunataka kupigana miti