Ndoa yangu imetengenezwa mbinguni, nafurahia sana

Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana,
Usikatae ndoa kataa wahuni wanaotaka ndoa,
Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na wakike wapate waume wenye sifa kama zangu.
Nikiambiwa nioe tena nitamuoa huyu bint bila kufikiria mara mbili.

Mpaka leo bado nainjoy everything of her,

My dedication to her is "perfect" by Ed sheeran
Bahati yako bro maana ...
 
Ngoja tukupe muda tutakuja kukushauri hapahapa 🤣🤣🤣🤣
 
Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana,
Usikatae ndoa kataa wahuni wanaotaka ndoa,
Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na wakike wapate waume wenye sifa kama zangu.
Nikiambiwa nioe tena nitamuoa huyu bint bila kufikiria mara mbili.

Mpaka leo bado nainjoy everything of her,

My dedication to her is "perfect" by Ed sheeran
Mwenzenu niko single naenjoy jamani kua single raha.
 
Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana,
Usikatae ndoa kataa wahuni wanaotaka ndoa,
Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na wakike wapate waume wenye sifa kama zangu.
Nikiambiwa nioe tena nitamuoa huyu bint bila kufikiria mara mbili.

Mpaka leo bado nainjoy everything of her,

My dedication to her is "perfect" by Ed sheeran
Uzi wako wa kuamua kuachana na mkeo sababu muonekano haukuvutii ni mke gani huyo? Na huyu vipi?
 
Hongera sana....

mzee mungu a endelea kuwa muongozo uliomwema maishani mwenu daima!
 
Back
Top Bottom