Ndoa yangu imetengenezwa mbinguni, nafurahia sana

Bahati yako bro maana ...
 
Ngoja tukupe muda tutakuja kukushauri hapahapa 🤣🤣🤣🤣
 
Mwenzenu niko single naenjoy jamani kua single raha.
 
Uzi wako wa kuamua kuachana na mkeo sababu muonekano haukuvutii ni mke gani huyo? Na huyu vipi?
 
Hongera sana....

mzee mungu a endelea kuwa muongozo uliomwema maishani mwenu daima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…