Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 11 ya mahusiano mtoto 1 tatizo limeanzia hapa.Nimeishi na mwanamke miaka 10 tuna mtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.
Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwa hiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familia kwa vyovyote.
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.
Vipi kuhusu kumchukua mwanangu ana miaka 10 wa kike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu?
MSAADA WA KIMAWAZO WANAJAMII.
Acha kulia lia wewe wanawake wako wengi unashindwa kumpata mwingine we utakuwa mkristu maana wenzetu waislamu hawanaga kurembaNimeishi na mwanamke miaka 10 tuna mtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.
Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwa hiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familia kwa vyovyote.
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.
Vipi kuhusu kumchukua mwanangu ana miaka 10 wa kike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu?
MSAADA WA KIMAWAZO WANAJAMII.
Kuogopa kuoa ni sawa na kuogopa kufanya mtihani, ukijua faida za kufanya mtihani hauwezi kuogopa.Hii Ni Sababu ya 50,001 kwanini naogopa kuoa. Naendelea kukusanya sababu
Usimsikilize huyu feministsMkeo angekuwa hafanyi kazi ungefanyaje?.. kwenye kunyimwa unyumba lazima Kuna chanzo,,inawezekana unamlazimisha ahudumie familia ..kuitwa mwanaume SI Lele mama bro.wanaume hatuvunji ndoa kizembe hivyo..
Hapa ni mwanangu tu mtoto analia kila siku anasema mm nataka kuishi na wazazi wangu wote uzur mtoto wangu anaupeo mkubwa sana dah inaniumiza sana ndoa siifikirii tena
Unaweza soma huu mwandiko ukajisemea mwamba huyu hapa! Kuuumbe mtu akikujua vizuri anaeza jizarau adi ajiue
Ni kweli kunasiku nafsi ilijawa mabaya hasira mpaka nikawaza nife pamoja na mwanangu ili abaki huru lakini maombi nilikuwa nayafuatilia upendo tv yalinisaidia sana
Pole sana mkuu.Mkuu kwa ninavyojua famili yao mtoto wangu atapata tabu sana ndiyo maana nikaomba kujua je ninaweza kwenda kisheria nikapewa mwanangu japo niwakikee???
Ukiona dume zima linasema kataa ndoa ujue tayari linatiwa pipeAlafu kwa hili wimbi limekuja kwa kasi la ushoger sjui linachangia, haiwezekani mtu hata hajawai kuoa afu anasema hakuna kuoa!! Inamaana anaolewa yeye
Principles za kidume zipoje? FafanuaNina mashaka na principle zako kama dume ndo yanayokutokea hayo
Mwanaume atakama ukishuka kiuchumi lazima ulinde heshima yako
.tumia akili mkuu tumia 🧠 la sivyo
Kuchapiwa kwake ni kama kupumua tu daily
#kaa chonjo#
Pole mkuu unawahurumia mtoto mkubwa hivo na mama yake anafanya kazi ww vipi mkuu wewe tembea ukakae sehemu Kwa muda uone reaction ya mkeo na ajifunze huyo si ni mama yake huna haja ya kuogopa.Nimeishi na mwanamke miaka 10 tuna mtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.
Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwa hiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familia kwa vyovyote.
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.
Vipi kuhusu kumchukua mwanangu ana miaka 10 wa kike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu?
MSAADA WA KIMAWAZO WANAJAMII.
Zingatia ushauri wa jamaa hapa.Pole sanaa ilaa tafuta hela kwa sasaa akikuachaa acha aendee hata na mtoto USITAFUTE MAHUSIANO MAPYA... wanawake ndivyo walivyoo sio kwamba wapo after money hapana hawajazoeaa kuumiza akili wala stress so kuwa mpole muache aamue yeye na kuhusu sex usimsumbue kabisaa fanya kama humuoni.. Timiza majukumu pale unapoweza akizidisha matusi na dharau bhasi muache uende ukaanze maisha pengine maana unaweza mfanya kitu kibaya ukaishia pabaya.