Dunia ya sasa hivi ukiwa mpambanaji suala la kukosa muda ni la mpito tu.
Huyo my wife wako yuko nawe kimaslahi tu.
Ingekuwa ndio mimi, naondoka na mtoto, najua atazoea kukaa bila mama kuliko kuendelea kukaa na mtu anaenipa msongo wa mawazo.
Likishindikana hilo, nitajipanga kisaikolojia, sitaomba nauli, sitaomba unyumba na ikibidi hata chakula, akiniwekea sawa asipoweka sawa. Nikiwa na hamu nitaenda kupiga hata za buku tatu tatu. Namtoa kabisa mawazoni.
Na uchumi ukitengemaa, najiimarisha kiuchumi bila kumshirikisha kabisa katika mipango ya maendeleo. Ni mwendo wa kimya kimya tu. Hapo ndio kichwa chake kitawaka moto.
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app