Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Hawezi from no where akunyime uchumba itakuwa na wewe una TABIA mbaya either ya ukitombi

Unaweza hata Isiwe hivyo.
Mwanamke akishaingiza miambili miatatu, alafu akaona ramani zako hazisomi au uchumi wako umedorora Kwa muda mrefu huku yeye ndiye akiwa anaendesha familia mara kadhaa, mara nyingi huanza kuleta tafrani
 
Wengi pesa zao huwa ni zao angalau wako anafanya Kazi we cha msingi keep distance. Usikae nyumbani kama huna pesa katafute maisha kwingine. Wao hatashindwa muhudumia mtoto wako.
Ukipata pesa utawajoini.
Shida na raha ni mambo ya ukumbini na sio in real life.
 
Wanawake sjui huwa wakoje,
Yaan kutoa Ela ya kula siku mbili tatu,
Nae tayar keshajiona ni mwanaume ndan ya nyumba, anapandisha mabega.
UKINIFANYIA HIVO, NAWEZA VUMILIA YAPITE, KAMA UJAVUKA SANA MIPAKA.
ILA JUA NAMI NIKIZIPATA,HAKUNA RANGI UTAACHA KUONA,Kudaddeq[emoji3525]
 
Ushawaza ukifa mwanao atabaki na nani acha woga fanya maamuzi mapema Kingine acheni waminisga wake zenu mnapesa hapo ndio tatizo uhanzia uyu mwanamke alikupendea pesa inaonekana awali ulikuwa unatoa sana pesa kwake so mda huu anaina unamzingua maana hisia zake kwako ni pesa tu ingawa ndio ukweli mwanamke hampendi mtu kama Hana pesa
 
Ushawaza ukifa mwanao atabaki na nani acha woga fanya maamuzi mapema Kingine acheni waminisga wake zenu mnapesa hapo ndio tatizo uhanzia uyu mwanamke alikupendea pesa inaonekana awali ulikuwa unatoa sana pesa kwake so mda huu anaina unamzingua maana hisia zake kwako ni pesa tu ingawa ndio ukweli mwanamke hampendi mtu kama Hana pesa

Pesa ni kichocheo cha mapenzi.
Lakini haimaanishi MTU ukiwa na Pesa ATI Mwanamke ndio hatakuendesha kama ukiwa mwanaume bwege
 
We acha tu dada dunia ya sasa sio kama ya zamani huku bunda Mara wake zetu wanatupiga kweli kweli kama watoto wadogo wanatuchapa na magongo inabidi tuwe tunakimbilia kwa wakwe au mpkani Kenya kuokoa maisha yetu
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana eti mnakimbilia mpakani mwa kwenya kuokoa maisha.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Dah we jamaa kwaiyo utaacha mwanao au wanao waishi kama watoto wa bata????
Solution sio kumuacha,
Ni kumfanyia kitendo Cha kijasiri Kama unamuacha,anajuta na kunyooka kabisa.

Unahakikisha ulichomfanyia kamwe hatorudia Tena kukutest mitambo.

Watoto wataumia kwa MDA mfupi,
Ila itakusaidia Sana baadae asikusumbue

Don't be too nice guy,
sometimes act taleban, no matter what
Usiwe mwanaume wa kutabirika tabirika
 
Akili 90% + nguvu 10%

Ukishaona Mwanamke anaanza Kubadilika usisubiri mpaka awe tishio kwako, Fukuza.
Mambo ya kuanza kumbembeleza au kutaka kumbadilisha Sisi wengine hizo tabia hatuna
Hata mambo eti ya vikao vya usuluhishi sitaki kabisa. Ukileta ngebe tembea atakuja mwenzako. Pisi nyingi siku hizi wako wengi wanataka hiyo vacancy.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yani wanaume km nyie mmebaki 1 kwa 10, bado hali tete

Ninachowapendea Wanawake, hawakupigi Kwa ngumi au makofi Ila kipigo Chao utaita maji MMA! 😂😂😂

Alafu wakianza kukupiga usije fikiri ATI watakuonea huruma. Wanawake hawanaga huruma wakishakuchukia, utapigwa mpaka ukome.
Wanajua namna ya kumpa MTU maumivu makali ya nafsi
 
Back
Top Bottom