Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
💯Mwanamke akishajua wee Ni mafia,
Huna hofu yoyote kuachana nae ananyooka
Wanawake Wafundi sn kucheza na madhaifu yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯Mwanamke akishajua wee Ni mafia,
Huna hofu yoyote kuachana nae ananyooka
Wanawake Wafundi sn kucheza na madhaifu yetu
Hata kwenye ndoto.Kataa Ndoa
Kitendo Cha Jamaa kulilia penzi lake tayar keshajua kwake hapindui,Na Mwanamke kama Hana mapenzi na wewe ni suala la muda tuu.
Vijana wanadanganyana mapenzi Pesa, wanahonga wanasahau mapenzi ni hisia. Unatoa Pesa unao Mwanamke, akishakuzoea anaanza kukuonyesha rangi zake halisi.
Mtu ananyimwa Penzi Kwa Makusudi mpaka anapiga nyeto unasema Mwanamke anamtishia/anatingisha kiberiti.
Kwa uzoefu Mdogo nilionao, Mwanamke kama anakupenda kwelikweli hawezi kukujaribu Kwa ishu zinazoweza sababisha ukamuacha.
Wewe huwajui wanawake vizuri. Tena pale kama uchumi umeyumba ndio utaona rangi zoteNahisi kuna vitu vingi hujavisema,, Wanawake nikweli kila kitu ni mume hata kama anakipato chake kidogo,ila kama anakuheshimu na anajua hali halisi hawezi kufanya huo ujinga,kuna jambo zaidi nadhani hujalisema hapa
Umemaliza yote Kaka, huwa wanahonga mwanzoni akubaliwe, akijua atampenda na kummiliki moja kwa moja.Na Mwanamke kama Hana mapenzi na wewe ni suala la muda tuu.
Vijana wanadanganyana mapenzi Pesa, wanahonga wanasahau mapenzi ni hisia. Unatoa Pesa unao Mwanamke, akishakuzoea anaanza kukuonyesha rangi zake halisi.
Mtu ananyimwa Penzi Kwa Makusudi mpaka anapiga nyeto unasema Mwanamke anamtishia/anatingisha kiberiti.
Kwa uzoefu Mdogo nilionao, Mwanamke kama anakupenda kwelikweli hawezi kukujaribu Kwa ishu zinazoweza sababisha ukamuacha.
Siyo kwa mchaga aliyelelewa mazingira ya nyumbani ningumu sana ata moshi mjini kama umeishi kweli watoto wa mitaani niwakuhesabu naniwakuja.Mimi nimeishi Huko na pia nimechukua Mwanamke Kutoka Huko.
Wapo Watoto wengi waliotelekezwa
🤣🤣🤣🤣🤣Dahhh! Wanasema ukiachwa achika, anashindwa soma alama za nyakatiSababu ya kutaka kumchukua mtoto ni nini? Mwache akae na mama.yake uwe unaenda kumuona. Baadae utamchukua.
Wewe unaogopa kuachika..hilo ndo tatizo usisingizie mtoto.
Inategemea na namna mnavyoishi,nina jamaa yangu amepata changamoto kazini tangu mwaka jana mwanzoni,ila mkewe bado anamuheshimu na kusupport familia..... anyway haya mambo magumu sanaWewe huwajui wanawake vizuri. Tena pale kama uchumi umeyumba ndio utaona rangi zote
I see, Sasa mahusiano yakiwa hivi inakuwa biashara kama biashara nyingine tu.Mnaonyimwa unyumba ndoani, mko wengi sana mngeanzisha tu chama chenu. Kama wale wanaopigwa na wake zao.
Huyo mapenzi nawewe hana, hata mwanzo alikuwa akikupea kwa huruma na vihela vyako. Sasa hela haioni na hakuna rangi utaacha ona.
Wewe lete nyumbani unachoweza kupata. Wewe mwanaume. Usihangaike na hilo kitu yake wala nini. Mtoto ni wako tu hata akiondoka naye. Usimfukuze kwani ukiacha kuhitaji unyumba kwake ataelewa umuhimu wake kwako haupo. Atajitoa mwnyewe. Ila ni mchakato mrefu na uwe mwangalifu maana unaishi na nyoka ndani ya nyumba. Jitahidi ujenge nyumba nyingine kwa siri.Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.
Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.
Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Tatizo vijana tunatongoza wanawake tukiwa na maisha mazuri na wao wavutiwa na maisha mazuri na wanaamini ukishawaoa tu maisha mazuri yataendelea kuwepo kipindi chote, sasa wakiona mambo yamebadilika tu na wao wanabadilika, Yani vijana tushtuke ukiwa na mpenzi wa kike hajawai kukupa ata kitu chochote huyo siyo wa kuoa ukijaribu kuoa tu siku ukiyumba kiuchumi ndiyo utajua rangi yake na makucha yake.Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.
Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.
Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Umemaliza yote Kaka, huwa wanahonga mwanzoni akubaliwe, akijua atampenda na kummiliki moja kwa moja.
Mwanamke naye anakubali sababu ya hela za mwanaume.
Sasa hela ikiisha na hisia zinashika hatamu kama ulivyosema.
Nakubaliana nawewe 100%
Wanaume waoe wanawake, watakaopendwa nao, hata akibadilika upendo huwa unashinda.
Usipoteze nguvu zako zaidi utakufa umuache mwanao bila baba
Sababu ya kutaka kumchukua mtoto ni nini? Mwache akae na mama.yake uwe unaenda kumuona. Baadae utamchukua.
Wewe unaogopa kuachika..hilo ndo tatizo usisingizie mtoto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila siku tunawakataza kuoa nyie mnang`ang`ania tu,sasa ushauri kwaleo haupo..
Labda upost tena kesho
Sababu ya kimama kabisa😂😂😂
Hicho ndio kisingizio chetu Vijana WA sasa.
Anang'ang'ania Watoto amekuwa Mama kwani
Sababu ya kimama kabisa