Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Kama ulichokiandika ni kweli hujapendelea upande wako huyo Mwanamke hafai kabisa kama vipi mchukue Mtoto wako uachane naye.
 
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.

Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.

Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu
 
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.

Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.

Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Ni ngumu sana kumbadilisha Tabia mtu mzima aliye amua kwenda kinyume na maadili..

Huyo Mwanamke Fukuzia mbali haraka sana,Usilee wala kuendekeza dharau za Mwanamke mjinga na mpumbavu..

Mbona unaweza kuishi mwenyewe na mwanao bila huyo Mwanamke anayekupa stress na mawazo kila siku, fukuza huyo furushi...

Mwanamke Mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe....

Kumbuka, Endapo Simba atamhurumia Swala yeye ndio atakufa njaa....

Tafakari chukua hatua...!!!!!
 
Ngoja nikupe siri ya watu wa kilimanjaro siyo kupenda ndiyo maana ningumu kukuta watoto wa mitaani labda wawe wakuja ila siyo mzawa.Huwa tunajali sana watoto asilimia kubwa
Acha siasa kijana watu wa kilimanjaro wana utofauti gani na watu wengine? Wanawake ni wale wale, wanaume ni wale wale mapigo ya mahusiano yanatofautiana kidogo tu ila mdundo ni ule ule.
 
Mkeo angekuwa hafanyi kazi ungefanyaje?.. kwenye kunyimwa unyumba lazima Kuna chanzo,,inawezekana unamlazimisha ahudumie familia ..kuitwa mwanaume SI Lele mama bro.wanaume hatuvunji ndoa kizembe hivyo..
 
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.

Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.

Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Kwa maisha ya Sasa hivi Mwanaume jitahidi sana usikose Hela ya kumbadilisha mboga
 
Ni kweli kunasiku nafsi ilijawa mabaya hasira mpaka nikawaza nife pamoja na mwanangu ili abaki huru lakini maombi nilikuwa nayafuatilia upendo tv yalinisaidia sana
Pole ,andaa future ya mwanao na wajukuu zako .Kujiua ni udhaifu wa kiwango kikubwa sana .
Alafu peaneni muda kidogo,tafuta hata tenda itakayokuweka mbali na familia kwa mwezi mzima alaf utarudi .kikubwa ndoto na maono yako yatimie .Acha kuishi kwa kutiatia huruma
 
Pesa ya mwanaume kwa mwanamke ni SECURITY. Mkeo hajisikii kuwa salama; yeye na mwanae pia so reaction yake ni panick!

Acha kutaka kuvunja ndoa kwa mambo madogo. Vingine ni vya kuelewa tu na kuacha vipite. Kwani utakosa hela kila siku?

Wanaume wa sasa fragile sana, kidogo mnataka kukimbia. Yaani una family nzuri unataka kuivunja kisa mnuno wa mke? Ukipata anayetembea hata na baba yako mzazi si utajiua wewe!
 
Ngoja nikupe siri ya watu wa kilimanjaro siyo kupenda ndiyo maana ningumu kukuta watoto wa mitaani labda wawe wakuja ila siyo mzawa.Huwa tunajali sana watoto asilimia kubwa
Mnisamehr ila wanaume wengi wa kichaga ni mazezeta kwenye mapenzi,, mko soft mno na mapenzi hamuyajui,, wanawake wanawapenda kwasababu ya uwezo wa kutafuta ila ule udume hamna mfano ni wewe mwenyewe ndo maana unajiliza hapa
 
na wanaume tujituinii kupunguzaa kupendaaa ngonoo huwa inasaidia sanaaa ukiwa na mwanamke wew kila siku unampandisha sketii unaweka dyudyu jua haumkomoi ila unajitengenezea mazingira ya kuwa mtumwaa wa ngono na mwanamke akitaka lake anatumia uchi kama fimbo na trust me mwanaume ukizoea kuwekaa aiseee kukaa week hujawekaa unaweza hisi kufa.
Boraa umesemaaaa
 
Back
Top Bottom