Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Wewe lete nyumbani unachoweza kupata. Wewe mwanaume. Usihangaike na hilo kitu yake wala nini. Mtoto ni wako tu hata akiondoka naye. Usimfukuze kwani ukiacha kuhitaji unyumba kwake ataelewa umuhimu wake kwako haupo. Atajitoa mwnyewe. Ila ni mchakato mrefu na uwe mwangalifu maana unaishi na nyoka ndani ya nyumba. Jitahidi ujenge nyumba nyingine kwa siri.
On point mkuu
 
Acheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
 
Acheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
Ukiona huyo mwanaume ana lalamika kanyimwa unyumba huyo mwanaume atakuwa na mwanamke mmoja lakini kama mwanaume ana wanawake zaidi ya wawili hawezi kukosa unyumba.
 
Acheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
Waulize wanao wanyima wenzao huo unyumba unamnyima ili iweje waulize
 
Ukiona huyo mwanaume ana lalamika kanyimwa unyumba huyo mwanaume atakuwa na mwanamke mmoja lakini kama mwanaume ana wanawake zaidi ya wawili hawezi kukosa unyumba.
Mhh sidhani sema unyumba wa mke ni wa mke tuu hata ukiwa nao 10 huko nje..mke akikunyima lazima udate..
 
Hiyo hoja ya mtoto haina mashiko.

Kwahiyo Mama yake akifariki leo utafanyaje kuhusu malezi ya binti yako?
 
Ukitaka kuishi vizuri na mwanamke mwache HURU!

Mwambie ukichoka usianze vituko we sepa tu kama umempata aliye Bora kuliko Mimi!

Itakusaidia kuepuka kifungo cha maisha jela!

Mwambie kama amechoka aende panapomfaa!akuache na mwanao utamlea TU!

Tena mwambie akaolewe kabisa ili nawe uwe HURU kufanya MAAMUZI!!

Usimvumilie mtu ambaye hujamzaa!!!mwenye uchungu na mtu ni mzazi TU ACHA kubeba jukumu ambalo sio lako!
 
Acheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
Huko sio kuvumilia changamoto ni kuvumilia ujinga na upumbavu.

Mwanamke mjinga na mpumbavu sio wa kuvumilia ni wa kutimua na kufukuzia mbali....
 
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.

Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.

Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Acha ujinga. Kitu kinakuharibia afya ya akili yako ni adui. Mkatae adui. Mtoto akishafika miaka 7 anaruhusiwa kuchagua anapotaka.
 
Acheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
Hali ni mbaya, wanawake Wengi hamtaki kutoa papuchi kwa waume zenu shida nini, watu wazima tena wazee, wanalalamika unaweza kuta mwaka mzima mke hatoi papuchi, mke akiulizwa anajibu Mume kuwa, kila saa anawaza ngono au mume anapewa masharti ya kupewa papuchi, lazima anunue hiki ndio apewe nyapu Kalpana
 
Ni kweli kunasiku nafsi ilijawa mabaya hasira mpaka nikawaza nife pamoja na mwanangu ili abaki huru lakini maombi nilikuwa nayafuatilia upendo tv yalinisaidia sana
Acha kuwa na mawazo mabaya kiasi hicho mkuu mtangulize Mungu kwenye kila changamoto unayoipitia
 
Hali ni mbaya, wanawake Wengi hamtaki kutoa papuchi kwa waume zenu shida nini, watu wazima tena wazee, wanalalamika unaweza kuta mwaka mzima mke hatoi papuchi, mke akiulizwa anajibu Mume kuwa, kila saa anawaza ngono au mume anapewa masharti ya kupewa papuchi, lazima anunue hiki ndio apewe nyapu Kalpana
na wanaume tujituinii kupunguzaa kupendaaa ngonoo huwa inasaidia sanaaa ukiwa na mwanamke wew kila siku unampandisha sketii unaweka dyudyu jua haumkomoi ila unajitengenezea mazingira ya kuwa mtumwaa wa ngono na mwanamke akitaka lake anatumia uchi kama fimbo na trust me mwanaume ukizoea kuwekaa aiseee kukaa week hujawekaa unaweza hisi kufa.
 
Back
Top Bottom