Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ameshakuzalia mtoto, tayari una ndugu na msaidizi wako na mrithi wako.
Rudi bachelor. Mtoto aking'ang'ania mwachie mtoto mwenyewe atakujaga kutaka kuonana na babaake na yeye atajirudi tu.
USIKOMALIE kuendelea kuwa wote
Ni suala la muda tu utasikia zitaanza zile za mtoto anataka kumsalimia babaake mara utasikia oooh kwahyo ndio umekasirika
 
Dunia ya sasa hivi ukiwa mpambanaji suala la kukosa muda ni la mpito tu.

Huyo my wife wako yuko nawe kimaslahi tu.

Ingekuwa ndio mimi, naondoka na mtoto, najua atazoea kukaa bila mama kuliko kuendelea kukaa na mtu anaenipa msongo wa mawazo.

Likishindikana hilo, nitajipanga kisaikolojia, sitaomba nauli, sitaomba unyumba na ikibidi hata chakula, akiniwekea sawa asipoweka sawa. Nikiwa na hamu nitaenda kupiga hata za buku tatu tatu. Namtoa kabisa mawazoni.

Na uchumi ukitengemaa, najiimarisha kiuchumi bila kumshirikisha kabisa katika mipango ya maendeleo. Ni mwendo wa kimya kimya tu. Hapo ndio kichwa chake kitawaka moto.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu inauma kama, mishe haziendi na mtu anakuletea stress ndani. Nje ntiti, ndani ntiti yani kichwa kinaweza kuzima data kabisa.
 
Ila wanaume mnalizwa siku hizi kila siku ni vilio tu vya kupigwa matukio,, kweli mambo yamebadilika,,
We acha tu dada dunia ya sasa sio kama ya zamani huku bunda Mara wake zetu wanatupiga kweli kweli kama watoto wadogo wanatuchapa na magongo inabidi tuwe tunakimbilia kwa wakwe au mpkani Kenya kuokoa maisha yetu
 
😂😂Kina Eva wamekaza kinoma vilio ni vingi mno, mpaka sasa ubao unasoma Adam 0-Eva 10000000000..... Msipotumia akili mtalia sana ndo kwanza mchezo umeanza

Akili 90% + nguvu 10%

Ukishaona Mwanamke anaanza Kubadilika usisubiri mpaka awe tishio kwako, Fukuza.
Mambo ya kuanza kumbembeleza au kutaka kumbadilisha Sisi wengine hizo tabia hatuna
 
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.

Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.

Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Mwache hakupendi uyo
 
Back
Top Bottom