paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 588
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli kunasiku nafsi ilijawa mabaya hasira mpaka nikawaza nife pamoja na mwanangu ili abaki huru lakini maombi nilikuwa nayafuatilia upendo tv yalinisaidia sanaAtakuja kumfanyia kitu kibaya..nyumba isiyo na furaha imejaa huzuni na mateso
Mkuu kwa ninavyojua famili yao mtoto wangu atapata tabu sana ndiyo maana nikaomba kujua je ninaweza kwenda kisheria nikapewa mwanangu japo niwakikee???Ulikuja Duniani mwenyewe utaondoka mwenyewe,kabla ya kumfikiria mtoto jifikirie wewe.Sasa ukiendelea kukaa kwenye ndoa hiyo yenye mashaka ikapelekea kupata msogo wa mawazo na kisha kifo-hapo utakuwa umesaidia nini kwako na kwa huyo mwanao.
Ndio maana wazungu wanatishinda wapo objective sana kwenye hata mambo-fikiria amani yako kwanza ili ukae vizuri utake care ya huyo mtoto-kuendelea kuishi na mwanamke wa namna hiyo kisa mtoto ni utahira wa kiwanho cha PHD.
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5.Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF,ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi.Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Ingawa nimeoa, na ninamshauri kijana anayejitambua kuoa hata nyie mnaopinga ndoa nanyi siku hizi nawatambua. Mna hoja kwa kweli kupinga ndoa. Sema wengine tushaamua na mikikimikiki yake tunapambana nayo kwa uweza wa M/Mungu.Kwanini sitaki kuoa
1: Ndoa ni gereza ukitoka kidogo unatafutwa au kuitwa uko wapi
2: Ndoa ni kitendo cha kumkaribisha mtu atoke kwao aje kwako kumaliza hela zako
3: Ndoa ni utapeli unamuoa mtu mpate watoto wa yeye na wewe anaanza kukupangia (leo sijiskii) wakati bila Ndoa hakuna anayekupangia
Bado mpaka sasa sioni cha kubadilisha msimamo wangu
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.
Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.
Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Mkuu kwa ninavyojua famili yao mtoto wangu atapata tabu sana ndiyo maana nikaomba kujua je ninaweza kwenda kisheria nikapewa mwanangu japo niwakikee???
Unahitaji ushauri private au public ???Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.
Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.
Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Ila wanaume mnalizwa siku hizi kila siku ni vilio tu vya kupigwa matukio,, kweli mambo yamebadilika,,
Hii nimeikubaliDunia ya sasa hivi ukiwa mpambanaji suala la kukosa muda ni la mpito tu.
Huyo my wife wako yuko nawe kimaslahi tu.
Ingekuwa ndio mimi, naondoka na mtoto, najua atazoea kukaa bila mama kuliko kuendelea kukaa na mtu anaenipa msongo wa mawazo.
Likishindikana hilo, nitajipanga kisaikolojia, sitaomba nauli, sitaomba unyumba na ikibidi hata chakula, akiniwekea sawa asipoweka sawa. Nikiwa na hamu nitaenda kupiga hata za buku tatu tatu. Namtoa kabisa mawazoni.
Na uchumi ukitengemaa, najiimarisha kiuchumi bila kumshirikisha kabisa katika mipango ya maendeleo. Ni mwendo wa kimya kimya tu. Hapo ndio kichwa chake kitawaka moto.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dah, kwanini akuone takataka wakati ambapo ndio unahitaji faraja yake the most?. Ni kukosa utu, na uvumilivu wakati wa shida tu.Huyo mwanamke ni kwamba anakosa utu wa kumvumilia mwenzie aliekosa kipato kwa muda tu? Ama kuna mengine yamejificha? Labda pamoja na kuhudumia umekuwa ukimfanyia upumbavu mwingi ambao emevunja moyo wake naye yupo tu kwasababu ya mtoto, sasa akijumlisha na ya kukosa pesa ndo kabisaaa anasema takataka hii ya nini!
😂😂Kina Eva wamekaza kinoma vilio ni vingi mno, mpaka sasa ubao unasoma Adam 0-Eva 10000000000..... Msipotumia akili mtalia sana ndo kwanza mchezo umeanzaYamekuwa mazoba Acha yalizwe.
Mwanaume ATI anaogopa kufukuza MKE huoni hapo tayari kuna tatizo
Vyote sawa.Unahitaji ushauri private au public ???